Ccm ndio ilimtuma atapeli watu?Tuiondoe CCM Kwanza ili haki ipatikane!
Simon ni kijana mwenye akili nzuri. Idea aliyokua nayo ikllikua nzuri sana kwamba anaanzisha kilimo bias hara katika zao la vanila. Pengine kama suala au changamoto ilikua ni mtaji angewaalika watu wachache wawekeze pamoja kwa makubaliano ya kufanya kazi pamoja kuanzia mwanzo hadi mwishoSure mkuu kama kuna uwezekano wa wenye mamlaka kumpa msamaha kisheria (sijui ndo prebargaining), nami nawaomba wafanye hivo. Kwa mtu anaemfaham Simon wa IYUTE na huyo Simon aliyekuwa na hayo mambo yaliyomletea changamoto ni watu wawili tofauti. Jamaa alikuaga na tabia njema sana, na tena church boy.
Kusoma kufuta ujinga masuala ya ajira ni bahatiMkuu, nalalaje wakati wanafunzi zaidi ya laki nne wamehitimu masomo ya kidato cha nne na baadhi yao wanaingia kwenye soko la ajira?
Juzi tulitangaziwa wanafunzi mili 1.7 wamemaliza darasa la saba, pia tukatangaziwa zaidi ya wanafunzi milioni nne wanafanya mitihani ya darasa la nne na la pili?
Future ya hawa watoto wote ni kitu kinacho ninyima usingizi hasa nikijiuliza, tutawasaidiaje pindi wanapoingia kwenye soko la ajira? Nihurumie at some point ili nami niweze kupata usingizi.
Ni utapeli bwana hakuna cha Sales of Goods Act hapoSales of goods act inasema 'buyer beware'.
So kosa sio la Simon peke ake. Sheria inamtaka mnunuzi au muwekezaji kujiridhisha na mazingira ya uwekezaji Buyers should have been aware by seeking more clarification before they decided to invest.