Niko field

Niko field

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Jamaa kamdanganya mchuchu wake kuwa anasomea HOTEL MANAGEMENT.

Siku moja huyo bidada akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa MAMA NTILIE. Mtoto wa kike
ikabidi aulize "beby vp mbona uko hapa?
Jamaa bila woga akajibu "NIPO FIELD"
 
Back
Top Bottom