Niko Dilemma

Niko Dilemma

Tumia akili kuamua, usitumie moyo, utampoteza Mme wa kweli kisa kijana unayempenda afu hapo na ww umri utakuwa umeshaenda hakuna mwanaume atakayekufata. Sijaona hata dilemma iko wap wakat jibu lipo wazi
 
Olewa na anayekupenda wewe.Unayempenda anaweza akakuchoka ila huyo anayekupenda hatokuchoka kamwe.Ukijipeleka kwa huyo wa pili jiandae kuja hapa jukwaani na story mpyaaa
 
Endelea kulemba utakuta mwana si wako! Unapendwa halafu unaleta mashauzi....ngoja shavu zikushuke kwanza utawatafutia kwa waganga wa kienyeji.
 
Life is an art of letting go, however be careful on what you choose to let go....
 
Wapendwa
Sio mara nyingi nimekuwa nikipost hapa...nimekuwa msomaji mzuri tu wa mabandiko mbalimbali na nimejifunza mengi kupitia post na michango yenu.

Kiukweli niko njia panda ndugu zangu,Niko na historia ya kuumizwa na mzazi mwenzangu mpk ilifika mahala nikamuacha na kuendelea na maisha yangu..

Nilitamani sana kama ningelikuwa na uwezo nibaki single siku zote nisiwe na mahusiano but kama unavyojua tena ujana maji ya moto..Of coz nikisema nitaishi bila dyudyu milele najidanganya...
Niliona kuliko kuangaika ni heri kuwa na mtu mmoja ninayemuamini na kupima ambaye ataendelea kunipoza mpk pale nitakapo amua kuingia katika serious relationship...

Mwanzoni kabisa wakati tunaanza mahusiano nilimwambia msimamo wangu akaniambia ...Mungu ndie mpangaji tuendelee tu nitakufundisha kunipenda..nikaona isiwe tabu tukaendelea na mahusiano yetu ni mwaka sasa.

Kiukweli mwaka umepita...mwanaume ananipenda na kunijali japo hayuko kamili..but sio shida sababu hakuna aliyemkamilifu...shida ni kwamba bado hajaujaza moyo wangu...najitahidi sana kujifunza kumpenda lkn nahisi kuwa naidanganya nafsi yangu ili hali yeye kila siku anazidi kudata na penzi langu na anazidi kunipenda.Imefika mahala mpk na mimi nimeamua kupretend kuwa nampenda ili asiumie.

Mwishoni mwa mwaka jana aliniomba nimpeleke kwa wazazi wangu na kwamba ananipenda sana so anataka kila kitu kiwe formal...nikamjibu kuwa nahitaji muda zaidi kujiridhisha na hayo maamuzi lakini niliona ni mapema sana coz nilishaumizwa na sikutaka kukurupuka tena katika maamuzi

Kiukweli sitoficha sijui ni bahati nzuri au mbaya ila nimekuwa nikitongozwa sana na wanaume katika kipindi hicho kigumu na najua wengi walitaka kutake advantage na situation niliyokuwa nayo but maamuzi ya kuwa kwenye mahusiano yanilisaidia kuendelea kuwa na misimamo yangu....

Lakn kama mnavyojua mapenzi wakati mwingine ni upofu...nimetokea kumpenda mkaka mmoja ambaye ni rafiki yangu tu wa kawaida...na kiukweli alishanitongozaga nikwambia nina mahusiano na kwa vile ni mtu mwenye kuheshimu hisia zangu aliomba tuendelee kuwa marafiki tu kama ilivyozamani..But kila kukicha naona moyo wangu unamwelekea na and I never felt like this before....Kiukweli nimejikuta nashindwa kucontrol hisia zangu kwa huyo mkaka.

Sasa nikija katika vigezo vya husband material kiukweli da first guy anavyo sababu ana Hofu ya Mungu.. ni matured...kashafanya starehe mpk kaamua kuacha...Sio mlevi..Anajali....sio tajiri ila anapambana na maisha kufikia ndoto na malengo yake na amekuwa akinishirikisha kila jambo na pia ameonesha nia dhahiri na kutaka kufunga ndoa na mimi.

About second Guy kiukweli bado anaujana,anakunywa pombe kiasi,kwa tabia siwezi comment sana sababu bado sikumpa nafasi kama mpz ni rafiki yangu tu...so sijapata nafasi kumsoma kiundani zaidi.
Sasa Dilemma inayokuja ni kuwa niolewe na anayenipenda na kunifeel sana nikajifunze kumpenda nikiwa kwenye ndoa au au nisubiri kwanza mpk nijiridhishe na maamuzi yangu coz sitaki kamwe kuchepuka...na me sina haraka sana kusubiri wakati utakaompendeza Mungu but mwenzangu kwa kweli kwa age yake na malengo yake amekuwa akitamani sana tufunge ndoa mwaka huu

Sasa wandugu pamoja ya kuwa niko kwenye maombi nikiendelea kumwomba Mungu anioneshe mwelekeo wa maisha yangu..Natamani mnishauri kama ni sahihi kuendelea mbele na maamuzi ya kuolewa na huyo mkaka au nisubiri..najua ndoa ni kitu chema lkn sitaki kuja kumuumiza mume wangu mtarajiwa kwa kuwa na mahusiano nje ya ndoa na kwa state niliyopo now mpk naanza kufall kwa mwingine inatosha kuonesha danger zone kuwa inawezekana ikatokea kama nikiwa kwenye ndoa

Naomba nieleweke wazi kuwa sina nia ya kuwa na huyo mkaka wa pili na msimamo wangu ni kwamba aendelee kuwa rafiki au ndugu kama walivyo wengine na ameaccept ila kupitia yeye nimeona bado kuna gap katika moyo wangu juu ya huyu niliyenae na hofu yangu ni kuwa sitotaka hilo lije kujirudia katika maisha yangu ya ndoa sababu sitopenda kuisaliti ndoa yangu huko mbele.

Naombeni mnishauri..
Mbarikiwe sana
Nahisi kuna tatizo pia upande wako ambalo nahisi linawapata akina dada wengi wanaojifahamu wameenda shule. wanajiweka daraja fulani kabla mfumo wa maisha haujaamua kuwaweka wanapostahili.

Unatafuta mwanaume anayeendana na theoretical husband wako. Yaani umesha set vigezo halafu sasa ndo unamtafuta. Mtu wa aina hiyo yupo duniani, tatizo kwako ni jinsi ya kukutana naye. Inawezekana usikutane naye maisha yako yote au ukutane naye kila siku lakini naye asikuone kama unakidhi mahitaji yake.

Marriage ni spontaneous. Ndo maana walioko pembeni wanaweza kuwa wanashangaa ilikuwaje mimi nikakupata pamoja na uzembe wangu wa kushinda kwenye snooker! Usitake mwanaume awe superimposable kwenye features unazotaka. Atakidhi yooote mara utagundua bedroom hawezi kabisa! Utajidai hayo nitavumilia kwa kuwa ni ya darkroom lakini baadaye utaona ni muhimu, na kujikuta ukikosa raha kwa wenzako. Dah! ni mengi!!! ..........
 
Kweli wewe mchunguzi
 
takwimu zinaonyesha kuwa wengi walioumizwa waliumizwa na wale wanaowapenda na kwa kuwa umezoea kuumizwa olewa na huyo kijana wa pili unayempenda huyu wa kwanza kwa kuwa anakupenda itabidi akubal kuumizwa
 
Siamini katika kila jambo kukubaliwa na kila mmoja. Kwako mimi ni ovyo ila wenye uzoefu nadhani watajua kuwa siyo ovyo. Kwa faida yako, zamani ndiyo maana tulitafutiwa wachumba na mwanaume uliulizwa kama unampenda. Upendo kwa upande wa mwanamke huja baadaye. Vivyo hivyo hata doa za mkeka huwa ni hivyo hivyo. Usiku mwanana kwako
unaongelea zamani hii ni karne ya 21.

wanawake hawakumiliki Mali.
wanawake hawakufanya kazi.
wanawake walirithishwa kwa mashemeji mume akifa.
wanawake hawakuwa kitu zaidi ya mali na nguvu kazi ya mwanaume.

wanawake hawakuwa na Uhuru wowote . hata kuchagua wampendaye.

nani kasema walifurahi kupelekwa kwa janaume lelote tu?? hawakuwa na jinsi!

achana na mambo ya zamani!

kwanza hujawahi kuwa mwanamke hata siku moja. mimi kama mwanamke nakwamia kama sikupendi sikupendi tu.

na unaonekana hakuna kasichana kaliwahi kukudondokea kenyewe. pole baba itabidi ufosi tu sasa.
 
Kweli wewe mchunguzi
Executivesister, hebu mshaurini mwenzetu. Sisi tunachukua asiye na kero zaidi ya kipimo halafu hayo mengine tunayatafuta kwingine, kama yatakuwa ya lazima. Hutapata 100% kama mwenzetu rosita anavyotafuta. Utaweka hata microscope lakini kasoro kila mtu ana zake.

Unaposhindwa, unganisha wawili au watatu wa pembeni. Hapa unapata pesa, pale unapata mawazo ya kisomi na kule unapata ile breakfast muhimu au hata diner, kama jamaa unaona hatoshelezi. we vipiii! Maisha ni akili na ni dynamic. Usipende kutulia sehemu moja tuuuuu!
 
Wewe ni mtabiri umejuaje? Lakini ushauri wako wa kufosi ni hatari maana kuna sharia ya makosa ya kujamiiana naogopa kukaa segerea miaka 30.
 
Nilichojifunza hapa ni kuwa huyo jamaa wako wa kwanza ambae anataka kukuoa humpendi!...... Swali ambalo sina jibu nalo kwa sasa ni kwamba je inawezekana kuolewa na mtu ambae humpendi? (Somebody help me to answer this question please! )
Jibu ni hapana ni lazima uwe tayari kuwa nae na sio by force
 
Wapendwa
Sio mara nyingi nimekuwa nikipost hapa...nimekuwa msomaji mzuri tu wa mabandiko mbalimbali na nimejifunza mengi kupitia post na michango yenu.

Kiukweli niko njia panda ndugu zangu,Niko na historia ya kuumizwa na mzazi mwenzangu mpk ilifika mahala nikamuacha na kuendelea na maisha yangu..

Nilitamani sana kama ningelikuwa na uwezo nibaki single siku zote nisiwe na mahusiano but kama unavyojua tena ujana maji ya moto..Of coz nikisema nitaishi bila dyudyu milele najidanganya...
Niliona kuliko kuangaika ni heri kuwa na mtu mmoja ninayemuamini na kupima ambaye ataendelea kunipoza mpk pale nitakapo amua kuingia katika serious relationship...

Mwanzoni kabisa wakati tunaanza mahusiano nilimwambia msimamo wangu akaniambia ...Mungu ndie mpangaji tuendelee tu nitakufundisha kunipenda..nikaona isiwe tabu tukaendelea na mahusiano yetu ni mwaka sasa.

Kiukweli mwaka umepita...mwanaume ananipenda na kunijali japo hayuko kamili..but sio shida sababu hakuna aliyemkamilifu...shida ni kwamba bado hajaujaza moyo wangu...najitahidi sana kujifunza kumpenda lkn nahisi kuwa naidanganya nafsi yangu ili hali yeye kila siku anazidi kudata na penzi langu na anazidi kunipenda.Imefika mahala mpk na mimi nimeamua kupretend kuwa nampenda ili asiumie.

Mwishoni mwa mwaka jana aliniomba nimpeleke kwa wazazi wangu na kwamba ananipenda sana so anataka kila kitu kiwe formal...nikamjibu kuwa nahitaji muda zaidi kujiridhisha na hayo maamuzi lakini niliona ni mapema sana coz nilishaumizwa na sikutaka kukurupuka tena katika maamuzi

Kiukweli sitoficha sijui ni bahati nzuri au mbaya ila nimekuwa nikitongozwa sana na wanaume katika kipindi hicho kigumu na najua wengi walitaka kutake advantage na situation niliyokuwa nayo but maamuzi ya kuwa kwenye mahusiano yanilisaidia kuendelea kuwa na misimamo yangu....

Lakn kama mnavyojua mapenzi wakati mwingine ni upofu...nimetokea kumpenda mkaka mmoja ambaye ni rafiki yangu tu wa kawaida...na kiukweli alishanitongozaga nikwambia nina mahusiano na kwa vile ni mtu mwenye kuheshimu hisia zangu aliomba tuendelee kuwa marafiki tu kama ilivyozamani..But kila kukicha naona moyo wangu unamwelekea na and I never felt like this before....Kiukweli nimejikuta nashindwa kucontrol hisia zangu kwa huyo mkaka.

Sasa nikija katika vigezo vya husband material kiukweli da first guy anavyo sababu ana Hofu ya Mungu.. ni matured...kashafanya starehe mpk kaamua kuacha...Sio mlevi..Anajali....sio tajiri ila anapambana na maisha kufikia ndoto na malengo yake na amekuwa akinishirikisha kila jambo na pia ameonesha nia dhahiri na kutaka kufunga ndoa na mimi.

About second Guy kiukweli bado anaujana,anakunywa pombe kiasi,kwa tabia siwezi comment sana sababu bado sikumpa nafasi kama mpz ni rafiki yangu tu...so sijapata nafasi kumsoma kiundani zaidi.
Sasa Dilemma inayokuja ni kuwa niolewe na anayenipenda na kunifeel sana nikajifunze kumpenda nikiwa kwenye ndoa au au nisubiri kwanza mpk nijiridhishe na maamuzi yangu coz sitaki kamwe kuchepuka...na me sina haraka sana kusubiri wakati utakaompendeza Mungu but mwenzangu kwa kweli kwa age yake na malengo yake amekuwa akitamani sana tufunge ndoa mwaka huu

Sasa wandugu pamoja ya kuwa niko kwenye maombi nikiendelea kumwomba Mungu anioneshe mwelekeo wa maisha yangu..Natamani mnishauri kama ni sahihi kuendelea mbele na maamuzi ya kuolewa na huyo mkaka au nisubiri..najua ndoa ni kitu chema lkn sitaki kuja kumuumiza mume wangu mtarajiwa kwa kuwa na mahusiano nje ya ndoa na kwa state niliyopo now mpk naanza kufall kwa mwingine inatosha kuonesha danger zone kuwa inawezekana ikatokea kama nikiwa kwenye ndoa

Naomba nieleweke wazi kuwa sina nia ya kuwa na huyo mkaka wa pili na msimamo wangu ni kwamba aendelee kuwa rafiki au ndugu kama walivyo wengine na ameaccept ila kupitia yeye nimeona bado kuna gap katika moyo wangu juu ya huyu niliyenae na hofu yangu ni kuwa sitotaka hilo lije kujirudia katika maisha yangu ya ndoa sababu sitopenda kuisaliti ndoa yangu huko mbele.

Naombeni mnishauri..
Mbarikiwe sana
Fuata moyo wako unahitaji nini maana unaweza ukakubali ndoa katikati ukashindwa kuvumilia challenges za ndoa
 
Executivesister, hebu mshaurini mwenzetu. Sisi tunachukua asiye na kero zaidi ya kipimo halafu hayo mengine tunayatafuta kwingine, kama yatakuwa ya lazima. Hutapata 100% kama mwenzetu rosita anavyotafuta. Utaweka hata microscope lakini kasoro kila mtu ana zake.

Unaposhindwa, unganisha wawili au watatu wa pembeni. Hapa unapata pesa, pale unapata mawazo ya kisomi na kule unapata ile breakfast muhimu au hata diner, kama jamaa unaona hatoshelezi. we vipiii! Maisha ni akili na ni dynamic. Usipende kutulia sehemu moja tuuuuu!
Yaani kwenye comment yako ya juu ile ulimaliza kila kitu hata mimi nimekosa cha kuongeza kwa machango wa mawazo yako yaliyotukuka.Kama ana masikio na asikie.
 
Mimi mke wngu alilazimishwa kuolewa na MTU adiempenda eti kisa anapesa siku ya haruc alikataa kanisani alikimbia kwenye nyumba na magari life is nothing but hspness
 
Tatizo lile lile, kesho huyu atakuja kulia katendwa. Mtu amekuonyesha nia na uaminifu na umekiri mwenyewe. Badala yake unamwacha uende kwa mwenye hali nzuri. Maana ukweli hapa sio kwamba humpendi huyo wa kwanza ila hana hela uitakayo, la sivyo usingekuwa naye muda wote. Sasa mfate mwenye pesa kesho utupe uzi mwingine wa kakutenda.

Namwombea mwanaume mwenzangu utakayemwacha apate mke mwema
 
Nilichojifunza hapa ni kuwa huyo jamaa wako wa kwanza ambae anataka kukuoa humpendi!...... Swali ambalo sina jibu nalo kwa sasa ni kwamba je inawezekana kuolewa na mtu ambae humpendi? (Somebody help me to answer this question please! )
Inawezekana ila mbele giza kama hamtaachana basi mtaishi kwa mateso au mtauana, mapenzi huwa hayafosiwi
 
Rusha roho taratibu hiyo shoga
Angalia usijekuwa story
Usijekuwa mfano
Usijekuwa tukio bidada
Penda unapopendwa utulizane....
Wewe kweli ni sikio la kufa,una mwanaume kaishakuzalisha na anataka kukuoa halafu unaanza ooh hayuko moyoni ooh sijui ntakuja msaliti,sasa nenda kamvulie pichu huyo mlevi akupachike toto ingine huko chini akubwage,uanze kumtafuta ex wako nae ukute kesha oa mke mungine halafu akufanye mchepuko wa kupunguzia makapi yake halafu akupachike toto ingine ya haramu tena halafu aingie mitini na kiuno chako kitakuwa kime expire baaaaasi.
 
Hapa ndo unapoona wanawake hawatak kuambiwa ukweli.

Wanaume tunakaz kwelikweli kwa hawa viumbe
 
Olewa na huyo wa pili maana siamini eti utajifunza kumpenda huyo wa kwanza. Siku zote unapretend na hujajifunza kumpenda. Katika ulimwengu wa leo mahusiano ni bora upendwe na mwanamke uhusiano unaweza kuwa salama. Kama mtoa mada unavyomsaliti jamaa wa kwanza huna feelings naye zipo kwa wa pili. Hata ukiolewa na huyo wa kwanza ndoa haitakuwa na chemistry kati yenu. Shida yako ni ndoa tu dada ndio maana uko dilema na si kupata mwenzi utakayeishi naye raha mustarehe.
 
Back
Top Bottom