Husny wewe hutakiwi hata kuomba... genge lipo la kutosha kukupokea... Mie nitabaki tu home napika kwa ajili yako na kuhakikisha chumba cha wageni hamna vumbi vumbi... maana na feni hio usije pata mafua maana hakijatumika siku nyingi....

Lingine??

jamaa aliandika thread la taarifa mapemaaa ila sahv katoswa. Dah!
We! Umemjibu nani?

We! Umemjibu nani?

sante sana, ndio maana husninyo penda wewe.

ametujibu wote. Ukiwa unaenda unipitie.
Kwa hiyo huyo nduka, sijui ndiuka orijinale mmemchinjia kiluvia sio?
Naona mnakaribishana tu na kufanyiana usafi vyumba vya wageni humu wakati mpwa ameachwa picha ya ndege na ile p/up ya mwananchi communications.

Ukitoka Mpwapwa pitia hapa Moro..

We kaka nashindwa hata kukuelewa.

poa poa, we jiandae.

Nishajiandaa siku nyingi, we nipe tu ratiba.

ndaku mmemtosa, mimi mtanipokea kweli? Dah! Ngoja nicancell haka kasafari hadi upepo utulie.