kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,059
- 3,658
Ngojawakuu salam,nimesafiri na mshkaj wangu tukitokea musoma lakini huyu mshikaj amestaajab jinsi wanaume wa huku wanavoongea kiswahili kila muda anadindisha akidai wanaume wa dar wanaongea kwa kulegeza sauti na kulemba maneno na kuchonga maneno ambapo hivo amezoea tu kuona mambo yakitokea
chumban ,ye n mwanachama wa 071
MULA MULA
Sent using Jamii Forums mobile app
unalala room moja na huyo mshkaji wako??wakuu salam,nimesafiri na mshkaj wangu tukitokea musoma lakini huyu mshikaj amestaajab jinsi wanaume wa huku wanavoongea kiswahili kila muda anadindisha akidai wanaume wa dar wanaongea kwa kulegeza sauti na kulemba maneno na kuchonga maneno ambapo hivo amezoea tu kuona mambo yakitokea
chumban ,ye n mwanachama wa 071
MULA MULA
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wivu na wewe si ulegeze sauti ili asitamani wa nje Kiazi wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
wanaume wa mikoan hatulalag chumba kimojaunalala room moja na huyo mshkaji wako??
@kitorotondo inaonekana unamfaa mwana,safar njema katka kutatuliwaAcha wivu na wewe si ulegeze sauti ili asitamani wa nje Kiazi wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo wanaume wa Mkoa wa Mara hatuna mwandiko mbovu kama wako, hafu huwa hatujadili lugha za watuwakuu salam,nimesafiri na mshkaj wangu tukitokea musoma lakini huyu mshikaj amestaajab jinsi wanaume wa huku wanavoongea kiswahili kila muda anadindisha akidai wanaume wa dar wanaongea kwa kulegeza sauti na kulemba maneno na kuchonga maneno ambapo hivo amezoea tu kuona mambo yakitokea
chumban ,ye n mwanachama wa 071
MULA MULA
Sent using Jamii Forums mobile app