Niko Busy Nawaandalia Kitu

mmenikumbusha mbali sana kitu boboro na ilikuwa na design nyingi nyingine tunaloweka baada ya kukaanga tuliita bisi

Baada ya kukaanga? Basi sisi ilikuwa kabla, tena unaloweka na chumvi kabisaa.....
 
........muendelezo
yaweke ndani ya chupa; tia maji; yaache yakae kwa muda mrefu;
kisha mwaga maji;,mahindi yatalainika yatafaa kuliwa na wote.
Nimeona vyema nimuhabarisheni.

hahahaah aiseee hayo yanafaa kuliwa darasani wakati mwalimu anafundisha
cc Preta
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo ndo pakutufundisha..... maana haya mambo ya supamaket yametufanya tupitwe na mazuri !!

vile vimaindi vya bisi ni punje ndogondogo kabisa na maa nyingi ndo unakuta yanauzwa supamaket ilanuwez kuta mahindi haya ya luketo huko infact sijawah ona
yale mahindi ya ugali yana punje pana ndo hayo
lakini sio uchote tu kwenye gunia tafuta muhindi uliokomaa ndo upukuchue
sijui utaupata wap teh teh
 
Kaanga na sufuria bana ndo yanakuwa matam ha ha ha

Katika age flani hivi nikiwa Mbeya, mnatafuta mavi ya ng'ombe yaliyokauka na mabua makavu ya mahindi mnawasha moto then mnamwagia mahindi yalopukuchuliwa hapo, zinatokaje popcorn?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…