khaswa, lakini shughuli za masufuria nimewaachia akina bibi,mama na khaloo... Mie nipo hi-tech na dig.com err' Sasa najaribu kuona ntaitoaje ili nianzishe kameza na kioski!! usiniige eenh?Kaanga na sufuria bana ndo yanakuwa matam ha ha ha
khaswa, lakini shughuli za masufuria nimewaachia akina bibi,mama na khaloo... Mie nipo hi-tech na dig.com err' Sasa najaribu kuona ntaitoaje ili nianzishe kameza na kioski!! usiniige eenh?
(wakumbuka zzile bisi/popcorn za kwenye sufuria?)
ulisambaratisha jiko lote !!!!Nazikumbuka basi kuna siku nikainjika popcorn kwenye sufuria bila kufunika bana ha ha ha mziki wake usikilizie!!
ulisambaratisha jiko lote !!!!
Sasa jaribu hiyo UKETO ..sijui inaitwa ndurusi !! zipompa nimependa vitafunio....Ha ha ha nililikimbia jiko!
Sista Masai, JEE mlo huo unaweza kusukumia na maziwa au poriji (uji) chai au coke ?!!
gorgeousmimi kwe hata mimi sikujua ni nini? Lakini fine nimeupenda tena ukiuroast kinamna !!
Na ambao meno hawapo njema......
chukua maji ya uvuguvugu......
weka chumvi........
koroga......
tia boboro zako ndani......
loweka usiku kucha......
kesho asubuhi tayari kwa kuliwa darasani......wakati mwalimu anafundisha.........
Waow!! kumbe kunakupaliwa..... kuna Multicooker fulani hivi sijui itaweza kukaanga mahindi? acha niitafute!!
MMmmmh !! rangi ?!!ndio chai ya rangi inanoga zaidi
Hapo swafi, ushukuriwe... umenifunguwa macho!!kaanga na fryn pan
maindi ya kukaanga
namna ya kutayarish
1,muhindi mmoja mkavu
2,pukuchua
3.weka jikoni kwenye chuma kikavu
4.koroga bila kuacha
5.yakiwa brown yote
6.epua tayari kwa kuliwa
mlo huu unaweza kuliwa na rika zote kama meno yako njema
........muendelezomaindi ya kukaanga
namna ya kutayarish
1,muhindi mmoja mkavu
2,pukuchua
3.weka jikoni kwenye chuma kikavu
4.koroga bila kuacha
5.yakiwa brown yote
6.epua tayari kwa kuliwa
mlo huu unaweza kuliwa na rika zote kama meno yako njema