Boboro
Nini hii?
maindi ya kukaanga
namna ya kutayarish
1,muhindi mmoja mkavu
2,pukuchua
3.weka jikoni kwenye chuma kikavu
4.koroga bila kuacha
5.yakiwa brown yote
6.epua tayari kwa kuliwa
mlo huu unaweza kuliwa na rika zote kama meno yako njema
Sista Masai, JEE mlo huo unaweza kusukumia na maziwa au poriji (uji) chai au coke ?!!maindi ya kukaanga
namna ya kutayarish
1,muhindi mmoja mkavu
2,pukuchua
3.weka jikoni kwenye chuma kikavu
4.koroga bila kuacha
5.yakiwa brown yote
6.epua tayari kwa kuliwa
mlo huu unaweza kuliwa na rika zote kama meno yako njema
maindi ya kukaanga
namna ya kutayarish
1,muhindi mmoja mkavu
2,pukuchua
3.weka jikoni kwenye chuma kikavu
4.koroga bila kuacha
5.yakiwa brown yote
6.epua tayari kwa kuliwa
mlo huu unaweza kuliwa na rika zote kama meno yako njema
Na ambao meno hawapo njema......
chukua maji ya uvuguvugu......
weka chumvi........
koroga......
tia boboro zako ndani......
loweka usiku kucha......
kesho asubuhi tayari kwa kuliwa darasani......wakati mwalimu anafundisha.........
Sawa ahsante!!maindi ya kukaanga
namna ya kutayarish
1,muhindi mmoja mkavu
2,pukuchua
3.weka jikoni kwenye chuma kikavu
4.koroga bila kuacha
5.yakiwa brown yote
6.epua tayari kwa kuliwa
mlo huu unaweza kuliwa na rika zote kama meno yako njema
Sista Masai, JEE mlo huo unaweza kusukumia na maziwa au poriji (uji) chai au coke ?!!
gorgeousmimi kwe hata mimi sikujua ni nini? Lakini fine nimeupenda tena ukiuroast kinamna !!
Waow!! kumbe kunakupaliwa..... kuna Multicooker fulani hivi sijui itaweza kukaanga mahindi? acha niitafute!!Hapo lazima upate coke au mahindi yatakupalia lol!
Waow!! kumbe kunakupaliwa..... kuna Multicooker fulani hivi sijui itaweza kukaanga mahindi? acha niitafute!!