Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,259
- 55,519
Hivi kipindi hiko 2013-2014 mliaminianaje kirahis hvo mkawa mnapeana namba kirahis? Maaana kulikuwa hot sana kipindi kile ukitamka jf mtu anajua kbs we ni mtu wa siasa na serikali ilikua macho sanaπ π π
Aisee sio mchezo, kuna jamaa mmoja alikuwa ni Pro Chadema na ana matusi na masikhara mengi sana, kumbe alikua ni Doctor Uingereza huko na alikuwa anachukuwa PhD lakin huwezi kumfikria, Halafu ni Bageshi kabisa kanda ya Ziwa. Kuna siku mwaka 2013 kani pm nimpe namba. Baadaye akanipigia nikamfuata pale NSSF Posta kulikuwa na Hotel inaitwa J Bellmonte. Nikaenda pale nikamkuta na Mke wake. Aisee kwanza sikuamini kama ndio yeye na Yeye hakuamini ndio Mimi. Tulia hang on pale mpaka saa 8 usiku na Mke wake alikuwa ni Afisa wa Bank fulani hapa mjini. Akalazimisha sana tuondoke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itajee, mlinzii nipoo.Humu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pisi moja amazing sana japo ilikuwa imenizidi miaka 3. Sitaki hata kuitaja na hata kuingia humu haingii tena
Nichekiii na ulipiee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alaaa hebu nichane ukweli basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwahiyo nikucheki? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SureIntrovert
Sure mkuuwengi wao ni introverts
πNipe hiyo kazi ya kwenda kum'bembeleza nataka nije kucheza kwenye harusi yenuBado mmoja tuu,
Akikubali ombi langu nitamuoa
Kibonge Wewe kucheza kwenye harusi za watu tu , ya kwako aaaaaaaahππNipe hiyo kazi ya kwenda kum'bembeleza nataka nije kucheza kwenye harusi yenu
Najuta Sana kuchelewa kujiunga JF,kumbe ilikuwa Tami kiasi hicho?Hii addiction nilikuwa nayo mwaka 2011 wakati nikiwa new member mpaka 2015 hapo.
JF ilikua ya moto kweli mpaka tukaunda na magrp ya whatsapp enzi hizo members mwisho 56
Jamani acheni JF ina pis kali, tumekulana sana huko nje jf kipindi hichoπ π π
Kipindi naolewa nilikua sijajiunga jf ningewaalika vipi sasa?Kibonge Wewe kucheza kwenye harusi za watu tu , ya kwako aaaaaaaahπ
Naomba nimtaje pm,πNipe hiyo kazi ya kwenda kum'bembeleza nataka nije kucheza kwenye harusi yenu
πKipindi naolewa nilikua sijajiunga jf ningewaalika vipi sasa?
Mbona lipo had sahivi, sema nafas ya kuingia kulee ni taabu.Najuta Sana kuchelewa kujiunga JF,kumbe ilikuwa Tami kiasi hicho?
Afu naskia pia palikuwepo na jukwaa la " wakubwa tu"[emoji23]
πππHivi kipindi hiko 2013-2014 mliaminianaje kirahis hvo mkawa mnapeana namba kirahis? Maaana kulikuwa hot sana kipindi kile ukitamka jf mtu anajua kbs we ni mtu wa siasa na serikali ilikua macho sana
Jukwaa la Wakubwa hatari sana, Malaya wa Kimboka walikuwa wanapostiwa sana kule. Kuna Mdau jina limenitoka ndio lilikuwa jukwaa lake pendwaNajuta Sana kuchelewa kujiunga JF,kumbe ilikuwa Tami kiasi hicho?
Afu naskia pia palikuwepo na jukwaa la " wakubwa tu"π
π π πMbona lipo had sahivi, sema nafas ya kuingia kulee ni taabu.
Wajanjaa tupo na tunasererekaa naloo, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]