Asante kwa ushauri wako

Mfano nikiamua kukaa mbali na Electronics yani simu, computers kwa muda wa siku kadhaa inaweza ikanisaidia nikaacha?
Hiyo ni njia nzuri lakini sio salama kwa upande wangu.
Kwa sababu tatizo halikuanzia kwenye electronics bali tatizo lilianzia kwenye mind yako.mind yako ndio zao la kila unachokifanya sasa hivi.
Sasa hivi upo jamii forum sio eti kwa sababu una simu hapana,bali upo jamii forum kwa sababu akili yako ilitaka uwe hapa.kwani wangapi wana simu na hawako JF kama simu ndo Kigezo..?
Basi unachotakiwa kufanya sasa hivi ni kupigana na wewe(akili yako na nafsi yako)
Akili iko pande mbili,kuna ambayo inawaza mazuri na akili inayowaza mabaya,siku zoteeeee ukiwaza mabaya basi akili ya mazuri inakuambia hapanaa usifanyeeee hivyooo,lakini akili ya mabaya inapokutawala na ukashindwa kuizuwia basi inakutafufia visababu tu mfano akili inaweza kukuambiaa "aaah utafanya siku moja tuu utaacha,au aah ntaacha hapo mbele,au leo ya mwishoo n.k"
Sasa visababu kama hivyo vinakuwa vinaizidi nguvu akili ya mema matokeo yake unaingia kwenye matatizo ya kufanya baya fulani.
Utaacha sawa hzo electronics hata kwa miezi miwili,lakini utashangaa siku ukinunua utakaa wiki tu utarudia tena hiyo hali.
Kwa sababu kumbe ulikuwa mbali na visababishi lakini kishawishi kikubwa(akili)bado ulikuwa karibu nayo.
Japokuwa kuacha tabia hiyo ukiwa na hzo electronics utatumia nguvu kubwa sana kuliko kuacha tabia hyo wakati uko mbali na hvyo vifaa.
Kwa maana ukipambana kuacha huku bado unasimu yako basi jua utatumia nguvu kubwa sana ya kuacha.
Ila kupambana kuacha wakati uko mbali na simu basi utatumia nguvu ndogo sana kuacha hyo tabia.
LAKINI UZURI ULIOJE NI KUWA........
unapotumia nguvu kubwa kuacha tabia basi na ndipo tabia hiyo inaondoka kwa kiasi kikubwa sana,kwa maana ukipambana kuacha wakati upo na simu manake una uwezekano mkubwa sana ukafanikiwa kwa sababu upo na vishawishi siku zotee kwa hyo ukivishinda zaidi manake una uwezekano mkubwa wa kuacha hiyo tabia.
UZURI WA KUACHA TABIA WAKATI BADO UPO NA SIMU MANAKE ni kuwa utakuwa huru na utandawazi wa hizi simu...
Hebu fikiria mitandao ina mambo mangapi ya faida na ya kujifunza tele telee,alafu leo uje kuacha simu kwa sababu ja kajambo kadogo ka picha za ngono tuuuu..
Yani picha za ngono zikufanye ukose mazuri mengi yaliyoko kwenye mitandao ya kisasa.NO NO.
Ukichagua njia rahisi basi utakuja kuishi maisha magumu,ukichagua njia ngumu basi utakuja kuishi maisha rahisi mbeleni.
Kwa hyo nakushauri chagua njia ngumu sana kuacha hiyo tabia na wala usichague njia rahisi rahisi kwa sababu inakuwa na tija ya muda mfupi.
Kuna muathirika mmoja wa picha za ngono anasema yeye aliacha kuangalia ngono kwa muda wa miaka 12.,lakini tokea aache mpaka mwaka huo wa 12 bado kuna fikra na zile picha za ngono ambazo akiangalia miaka ya nyuma bado zinamjia tu.
Unaona namna gani ambavyo imekuwa ni viya kali sana kuacha tabi,mtu ana miaka 12 tokeea aache lakini bado anazikumbuka zile pjcha,JE WEWE UNAEENDELEA KUANGALIA UTAKUWAANNA HALI GANI.....?
kwa hyo usiachane na simu,tumia simu kusoma madhara yake,tumia simu kusearch vitu mbali mbali vya faida.hata kama fikra zinakuja pambana nazo taratibuu utaona unaacha.
HATA KAMA INATOKEA UNARUDIA MARA KADHAA USIKATE TAMAA,UKIJIKUTA UMEANGALIA BASI UKIMALIZA USIANZE KUJUTA NA KUJILAUMU HAPANA.
ukimaliza kuangalia(bila shaka unajichua)ukamaliza usianze kukaa na kulia liaa kwamba kwa nini unarudia laaa.
Bali ukimaliza usijichukiee kwa sababu KURUDIA TABIA UNAYOTAKA KUACHA NI KATIKA NJIA ZA KUENDA KUACHA TABIA HIYO.
kwa hvyo ukijiona unarudia usijichukiee,bali fanya mambo mengine kama kusearch vitu mbali mbali kwa simu n.k
KAMA KUNA SWALI ULIZAA MDOGO WANGU,POLE SANA KWA CHANGAMOTO...