Niko addicted na gay porn

Niko addicted na gay porn

Sasa iko hivi, mimi ni msichana mwezi wa kumi inshwallah natimiza miaka 19 kamili. Mimi nimeanza kuangalia porn tokea niko na miaka 13. Sasa ikafika kipindi nikiangalia hizi porn za jinsia tofauti hata msisimuko nakua Sina. Nikaamia kwa gay porn. Kuna kipindi nilitaka kuacha ila nakuwa naacha kwa muda halafu najikuta nimerudi tena kulekule. Nataka kuacha kabisa lakini nashindwa. Mimi ni wa kawaida tu nina mpenzi wangu sishiriki mapenzi ya jinsia moja lakini mi hivyo niko addicted na hizo videos. Sipendi hii tabia lakini nashindwa kuacha. Nifanye nini ili niache? Naomba tu msinitukane maana nyie hamchelewagi.
Anaye takiwa kujufanya uwe normal ni boy wako yuapaswa akuweke uwe addicted na kit kungine cha kuangalia kupoteza tym na Co porn
 
huenda asili yako ni katika watu wa sodoma na gomora wa enzi za nabii lutu
 
Not big deal,usishiriki tu ya jinsia moja ilaa kutamani ni kawaida
 
Mtoto mzuri my name is my name Fanya kuja pm huku kumejaa malaghai hawawezi kushauri kitu watakuziaki tu kuna mwenzako alikuwa na tatizo kama lako nikamsaidia

Fanya kuja haraka pm roho inaniuma sana natamani kulia kwa Hali unayoipitia mamaa
Alisikika akisema mlevi mmoja
 
Nataka nikufundishe hicho unachokitamani hapo kwa ustadi mkubwa tu sawa binti wengi nimewafundisha kwa vitendo
 
Nguvu ya kuacha tabia inabidi iwe kubwa sana kuliko nguvu ya kuiepuka tabia ambayo haujaianza.
Asili mia 98% ya tabia ambazo tunajishauri kama tufanye au tusifanye basi mara nyingi tabia hizo tunakuja kuzijutia mbeleni na huwa tunapamvana kuziwacha.
Naomba kama sijaeleweka sehemu niulizwe...
Iwapo unatumia nguvu ndogo kuacha tabia fulani kuna tatizo lolote? Sikutumia nguvu kuachana na pombe, sikutumia nguvu kuacha uzinzi.
Mi nafikiri ni suala la maamuzi au maturity ya ubongo.
 
Muhimu kuacha tabia tu mkuu..

Nimemshauri kutokana na yeye na sio wote.

Anasema anaacha anarudia,anaacha anarudia,manake amazidiwa na tamaa za kihisia.
Iwapo unatumia nguvu ndogo kuacha tabia fulani kuna tatizo lolote? Sikutumia nguvu kuachana na pombe, sikutumia nguvu kuacha uzinzi.
Mi nafikiri ni suala la maamuzi au maturity ya ubongo.
 
Sasa iko hivi, mimi ni msichana mwezi wa kumi inshwallah natimiza miaka 19 kamili. Mimi nimeanza kuangalia porn tokea niko na miaka 13. Sasa ikafika kipindi nikiangalia hizi porn za jinsia tofauti hata msisimuko nakua Sina. Nikaamia kwa gay porn. Kuna kipindi nilitaka kuacha ila nakuwa naacha kwa muda halafu najikuta nimerudi tena kulekule. Nataka kuacha kabisa lakini nashindwa. Mimi ni wa kawaida tu nina mpenzi wangu sishiriki mapenzi ya jinsia moja lakini mi hivyo niko addicted na hizo videos. Sipendi hii tabia lakini nashindwa kuacha. Nifanye nini ili niache? Naomba tu msinitukane maana nyie hamchelewagi.
Miaka 19 na gay porn dunia inakwenda haraka sana hivi tz hawa watu wasaikolojia wapo kweli maana tuna matatizo mengi ya saikolojia
 
Sasa iko hivi, mimi ni msichana mwezi wa kumi inshwallah natimiza miaka 19 kamili. Mimi nimeanza kuangalia porn tokea niko na miaka 13. Sasa ikafika kipindi nikiangalia hizi porn za jinsia tofauti hata msisimuko nakua Sina. Nikaamia kwa gay porn. Kuna kipindi nilitaka kuacha ila nakuwa naacha kwa muda halafu najikuta nimerudi tena kulekule. Nataka kuacha kabisa lakini nashindwa. Mimi ni wa kawaida tu nina mpenzi wangu sishiriki mapenzi ya jinsia moja lakini mi hivyo niko addicted na hizo videos. Sipendi hii tabia lakini nashindwa kuacha. Nifanye nini ili niache? Naomba tu msinitukane maana nyie hamchelewagi.
Una dalili za kuhamishia huduma kwenye 071
 
Back
Top Bottom