

Sasa iko hivi, mimi ni msichana mwezi wa kumi inshwallah natimiza miaka 19 kamili. Mimi nimeanza kuangalia porn tokea niko na miaka 13. Sasa ikafika kipindi nikiangalia hizi porn za jinsia tofauti hata msisimuko nakua Sina. Nikaamia kwa gay porn. Kuna kipindi nilitaka kuacha ila nakuwa naacha kwa muda halafu najikuta nimerudi tena kulekule. Nataka kuacha kabisa lakini nashindwa. Mimi ni wa kawaida tu nina mpenzi wangu sishiriki mapenzi ya jinsia moja lakini mi hivyo niko addicted na hizo videos. Sipendi hii tabia lakini nashindwa kuacha. Nifanye nini ili niache? Naomba tu msinitukane maana nyie hamchelewagi.