beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Msanii wa muziki "msomi" nchini, Nickson Simon au Nikki wa Pili anafahamika kwa michango yake kuhusiana na siasa na matukio yanayoendelea kila siku, ameweka wazi hamu yake ya kugombea nafasi ya Urais panapo majaaliwa mwaka 2020
Nikki amesema anaamini ana nafasi nzuri zaidi ya kuweza kubadili mambo mengi akiwa Rais kuliko akiwa Mbunge.
Hilo amelitamka alipoulizwa kama ana mpango wa kuingia kwenye siasa na kugombea ubunge mwaka 2020..
My take: Japo mimi sio mshabiki wake kivile ila nakiri tu nimekubaliana nae kwenye mtazamo kuhusu masuala flani yakiwemo ya sera za uwekezaji, sanaa na kada ya elimu. Amezungumza vyema..