Nikki Mbishi ni Mfalme wa Bongo Hip Hop. Unju ni GOAT!

Nikki Mbishi ni Mfalme wa Bongo Hip Hop. Unju ni GOAT!

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
8,099
Reaction score
23,639
Nikki Zohan, Baba Malcom, Unju Bin Unuk, naweza kusema ni miongoni mwa marapa zangu bora wa wakati wote.

Kuanzia Lyrical ability, Theme, Cohesiveness, Frestyle, Punchline, Skill, Performance, Sound, Rhyme Schemes, Rhyme Patterns, World Play, Strategic Features & Lyrical Content, all on point!!!

Shida wengi wanapenda mashairi ambayo hayaumizi (hayaishughulishi) ndonga. Then mtu anakwambia anapenda HipHop

Nikki ana ngoma kali yingi sana ni vile mashabiki wa bongo sijui hatuujui muziki au tunasikilizaga muziki kupitia kwenye redio pekee hatuna access ya kusikiliza miziki kwa kutumia means nyingine kitu ambacho sio kweli nafikiri wengi wetu hatujui muziki.

Sina mengi fuatilia muziki wake unajieleza.

Super talent and well educated person
 
Unju anajua lakini hawezi kua GOT wa bongo hip hop, hata top 10 hatii mguu...kuna watu walifanya makubwa sana na ya kukumbukwa kwenye Bongo hip hop wala hawahitaji kupigiwa kampeni, muziki wao unaongea.
1. Albert Mangwea (Alberto)
2. Joseph Haule
3. Farid Kubanda
4. Juma Mchopanga
5. Selemani Mshindi
6. Msafiri Kondo- Traveler
7. Juma Kasimu Kiroboto (Rap Katuni)
8. Hamis Mwinjuma
9. Ambwene Yesaya
10 Langa Kileo
11. Taikuni Ally
Hadi hapo hayumo,.. anaweza asiingie hata top 20
 
Unju ni kipaji kwenye uandishi na flow hao ni marapa wazuri.
 
Unju anajua lakini hawezi kua GOT wa bongo hip hop, hata top 10 hatii mguu...kuna watu walifanya makubwa sana na ya kukumbukwa kwenye Bongo hip hop wala hawahitaji kupigiwa kampeni, muziki wao unaongea.
1. Albert Mangwea (Alberto)
2. Joseph Haule
3. Farid Kubanda
4. Juma Mchopanga
5. Selemani Mshindi
6. Msafiri Kondo- Traveler
7. Juma Kasimu Kiroboto (Rap Katuni)
8. Hamis Mwinjuma
9. Ambwene Yesaya
10 Langa Kileo
11. Taikuni Ally
Hadi hapo hayumo,.. anaweza asiingie hata top 20
Juma Nature ukitoa "Hili Game" sijaona ngoma nyingine ya maana aliyopasuka kama rapa

A.Y wakati anaanza game alikuwa wa moto sana ngoma kali ya mwisho ya A.Y ni "Usijaribu"

Hapo nakuunga mkono kwa Prof Jay, Mchopanga, Ngwair, Fid Q
 
Back
Top Bottom