donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,049
- 21,526
mkuu fafanua basi ni kina nani hao?
Mkuu utakua ni mgeni wa game ya hiphop ilivyo hzo mambo ni kawaida the beef was real
mbishi aliona kwake haina faida cz kimusic amemzid P vitu vingi, kiki ni hawa wakna shilole na wenzie
Mkuu utakua ni mgeni wa game ya hiphop ilivyo hzo mambo ni kawaida the beef was real
mbishi aliona kwake haina faida cz kimusic amemzid P vitu vingi, kiki ni hawa wakna shilole na wenzie
Mkuu hawa jamaa ni motooo
Uliaminishwa na nani mkuu? binafsi nilijua it was a fair challenge.
Siku Nikki anatambulisha straight outta gambosh aliulizwa na lil Ommy "Unauhakika hawakufanya collabo na Casper" akajibu mi sijui aliyewahi kawahi.
Na akaelezea jinsi ilivyo kawaida kwenye HipHop Mtu kumchana mwingine kama anaona amekosea.Nakumbuka alieleza jinsi alivyowahi mchana darasa lakini bado mwanae bt akasema yeye wasanii wanaogopa tu kumjibu lakini kama wanataka pia anatoa beat ile ya straight outta gambosh kwa yeyote anayejisikia kumjibu wala siyo P peke yake maana mule kuna watu kama Jaguar wamechanwa pia so P kujibu ni fair challenge tu.
Ref Interview na Clouds hakudili na P ila Wakazi..Nikki na Wakazi yes,there's something between lakini kuhusu P hakuna kitu kama hicho wala hakijawahi kuwepo...it was a rap challenge na bado itaendelea kuwepo...
Ile diss ilikua ni ngumu sn kujibiwa P alimaliza mbishi kila kitu, mbishi hakukua na cha kujibu zaid kutaka bifu na wakaziNikki angeendelea bifu faida kubwa ilikua kwa P ndo maana akaona asiwe ngazi japo lile dongo la moto.
Nimetoka kuangalia na ile ya weusi maana sikuwahi icheki.
Bila chuki jamaa pia wameimba vizuri nadhani kwa kua waliimba bila kupaniki kuliko Tamaduni....
Kwenye ile ya Weusi najiuliza sana Lord eyez anakwama wapi mbona mkalo sana huyu jamaa.