Nikki Mbishi na P the MC ilikua ni publicity stunt

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
14,364
2,000
Nimeamini wabongo wanajua kutengeneza Kiki. Mwanzoni tuliaminishwa kabisa kwamba Mawenge na Unju wapo kwenye beef Kali kumbe hamna lolote na check sasa wanakuja kukutana kwenye ngoma yao na Wana wengine ya pamoja inayoitwa kikosi kazi kazini ambayo ni diss trick Kwa weusi....

Screenshot_2020-07-09-14-02-50-913_com.instagram.android.jpeg
 
feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
5,340
2,000
Nikki angeendelea bifu faida kubwa ilikua kwa P ndo maana akaona asiwe ngazi japo lile dongo la moto.
Mkuu utakua ni mgeni wa game ya hiphop ilivyo hzo mambo ni kawaida the beef was real

mbishi aliona kwake haina faida cz kimusic amemzid P vitu vingi, kiki ni hawa wakna shilole na wenzie
 
Kelevra

JF-Expert Member
Nov 23, 2018
1,057
2,000
Uliaminishwa na nani mkuu? binafsi nilijua it was a fair challenge.
Siku Nikki anatambulisha straight outta gambosh aliulizwa na lil Ommy "Unauhakika hawakufanya collabo na Casper" akajibu mi sijui aliyewahi kawahi.
Na akaelezea jinsi ilivyo kawaida kwenye HipHop Mtu kumchana mwingine kama anaona amekosea.Nakumbuka alieleza jinsi alivyowahi mchana darasa lakini bado mwanae bt akasema yeye wasanii wanaogopa tu kumjibu lakini kama wanataka pia anatoa beat ile ya straight outta gambosh kwa yeyote anayejisikia kumjibu wala siyo P peke yake maana mule kuna watu kama Jaguar wamechanwa pia so P kujibu ni fair challenge tu.
Ref Interview na Clouds hakudili na P ila Wakazi..Nikki na Wakazi yes,there's something between lakini kuhusu P hakuna kitu kama hicho wala hakijawahi kuwepo...it was a rap challenge na bado itaendelea kuwepo...
 
donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
14,364
2,000
Game nalifatilia kitambo mkuu, sometimes hua zinatengenezwa scenarios ili kucreate attention Kwa fans mkuu. By the way umefanana na mwambA mmoja tulipiga nae ifm
Mkuu utakua ni mgeni wa game ya hiphop ilivyo hzo mambo ni kawaida the beef was real

mbishi aliona kwake haina faida cz kimusic amemzid P vitu vingi, kiki ni hawa wakna shilole na wenzie
 
donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
14,364
2,000
Umeelweka mkuu
Uliaminishwa na nani mkuu? binafsi nilijua it was a fair challenge.
Siku Nikki anatambulisha straight outta gambosh aliulizwa na lil Ommy "Unauhakika hawakufanya collabo na Casper" akajibu mi sijui aliyewahi kawahi.
Na akaelezea jinsi ilivyo kawaida kwenye HipHop Mtu kumchana mwingine kama anaona amekosea.Nakumbuka alieleza jinsi alivyowahi mchana darasa lakini bado mwanae bt akasema yeye wasanii wanaogopa tu kumjibu lakini kama wanataka pia anatoa beat ile ya straight outta gambosh kwa yeyote anayejisikia kumjibu wala siyo P peke yake maana mule kuna watu kama Jaguar wamechanwa pia so P kujibu ni fair challenge tu.
Ref Interview na Clouds hakudili na P ila Wakazi..Nikki na Wakazi yes,there's something between lakini kuhusu P hakuna kitu kama hicho wala hakijawahi kuwepo...it was a rap challenge na bado itaendelea kuwepo...
 
nicca frm nowhre

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
393
1,000
Nikki angeendelea bifu faida kubwa ilikua kwa P ndo maana akaona asiwe ngazi japo lile dongo la moto.
Ile diss ilikua ni ngumu sn kujibiwa P alimaliza mbishi kila kitu, mbishi hakukua na cha kujibu zaid kutaka bifu na wakazi

P ni hazina kubwa ya hip hop kwa kizazi hiki, ana flow flan hivi iko dope sn
 
feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
5,340
2,000
Nimetoka kuangalia na ile ya weusi maana sikuwahi icheki.
Bila chuki jamaa pia wameimba vizuri nadhani kwa kua waliimba bila kupaniki kuliko Tamaduni....

Kwenye ile ya Weusi najiuliza sana Lord eyez anakwama wapi mbona mkalo sana huyu jamaa.
 
donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
14,364
2,000
Ile interlude?
Nimetoka kuangalia na ile ya weusi maana sikuwahi icheki.
Bila chuki jamaa pia wameimba vizuri nadhani kwa kua waliimba bila kupaniki kuliko Tamaduni....

Kwenye ile ya Weusi najiuliza sana Lord eyez anakwama wapi mbona mkalo sana huyu jamaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom