Nikki Mbishi: Maneno ya mashabiki

P anangoma yake inahusu afande msela na baba msaliti nazipenda sana...

121.
 
Safi sana.. Kafanya poa. Wanasema jibu kwa mjinga ni kumkalia kimya.
 
Mi nilishasema humu, ule mkwaju wa P umemuathiri kisaikojia, hawezi kutuliza kichwa kujibu anaogopa kutoa kichekesho. Yaani mpaka tunaingia hii weekend, P the MC 4 - Nikki 0.
Hapana... Hapa huyo P wenu kaumbuka.
Mjinga usimjibu.

Bifu mambo ya kizamani.
 
So kuna watu wana left groups lakini bado wanakuwa na access..!?? Au sijaelewa.
 
Ahaaa / Nikki ajamchokoza mkuu isipokuwa P, kaamua tu kumvua nguo Unju.
mkuu sangatiti fuatilia mambo,p akiwa SA alipoga picha na Casper nyovest na kuipost,niki akaiscreenshot na kutupa kijembe kwamba badala ya kuomba collabo unaomba kupiga picha na Casper??? ndpo p akaamua kumvua nguo Nikki,Casper siyo easy kama pindabway (mshikaji wa Nikki),p kapigilia kwelikweli
 
Kwahiyo hapo ndo sababu ya kuja na diss ..

That is very simple joke...btn friends
 
Fwatilia vizuri aisee usirukie mambo na kutaka kupotosha mambo.
Hii sio diss ya Nikki mbishi kwa P the mc bali hii ni ngoma yake ya muda tu kabla hata yeye kumchorea line moja P kwenye ngoma yake ya 'straight outa gamboshi' baada ya P kupiga picha na Casper alipoenda south kwaajili ya castle lite unlock challenge ndipo P akamtolea diss track.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujasoma vizuri maelezo, niliandika 'sina hakika kama ni wimbo mpya', nilikuwa sijawahi kuusikia, kwavile niliona jana ndo kauweka U-Tube nilihisi unaweza kuwa wimbo mpya ila sikuwa na uhakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote yuko hivyo, nakumbuka hata enzi hizo namfatilia Facebook alikuwa mtu wa shit sana, anatukanana na mashabiki,..hana ustaarabu, though this time naona amekuwa too much

Sent using Jamii Forums mobile app

Jamaa anatabia za kuvimba sana. Anajikutaga mjuaji sana. Babu tale alimshauri kistaarabu kabisa, alimwambia asifanye ngoma ngumu sana. Afanye zile km playboi. Matokeo yake akamtungia wimbo wa kumchana ' Babu talent '

Mchomv nae alisema jamaa ni mkali sema ilo jina la mbishi ndio jamaa anajikuta mbishi kweli, matokro yake alimchana pia kwny interview. Iskilize akihojiwa na lily ommy enz hzo wapo magic

Kifupi jamaa anatabia za kishoga sana
 
Kifupi mwamba anazingua sana, nilikua shabiki yake sana ila siku za hivi karibuni ananiangusha sana.
L

Liflow lake LA hii miaka miwili limekuwa laajabuajabu saaana me napenda Niki wa #undisputed #sauti yajogoo #nyakati playboy nk ila sahv hata vina upangaj wake unayumbayumba labda kama nmimi ndo siposawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi kundini mkuu, huku hip hop imenoga ma underground wanatoa ngoma kali kinyama kuliko hawa mainstream

Maalim nash katoa ngoma na singasinga ila bado sijaipata ila wametisha mno niliona kwenye intro alipost IG
Msasani kulikua kinawaka nami sijafatilia since 2014
Naona beef/battle inaweza kuwaingizia senti ikitumika economical
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…