Nikki Mbishi: Maneno ya mashabiki

Nikki now dayz ni wack mc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuda sana, eti anarusha screenshot za group wanavyomsema wasanii wenzake, ana mambo ya kidada huyu jamaa ana usnitch fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mkuda kweli kweli Mimi nilishangaa sana ana tabia za kikekike[emoji57]

Wana wakikuchana unatulia boli huitaji kutafuta huruma kwa jamii huo ndio usela

Ila ile staili yake ya kishambenga na kisela mavi[emoji37]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
L
Nini mnataka mazee, mafans hawakuelewi/
zamani walijibu rhymes, Leo imebaki aibu/........................
Hizi ni nyakati za mashaka jiandae kuvuta shati...
Baba Malcom ukiondoa mambo yake ya kumdiss kila mtu ila ni mbaya sana
Liflow lake LA hii miaka miwili limekuwa laajabuajabu saaana me napenda Niki wa #undisputed #sauti yajogoo #nyakati playboy nk ila sahv hata vina upangaj wake unayumbayumba labda kama nmimi ndo siposawa
 
Possibility ni ndogo sana nimesikiliza interview za P mawenge naona jamaa yupo serious.

May be tusubiri lakini.
Ieleweke kua mawenge na mbishi wana battle sio bifu......soon tutegemee kuwasikia kwenye ngoma yao mpya ya pamoja
 
Rudi kundini mkuu, huku hip hop imenoga ma underground wanatoa ngoma kali kinyama kuliko hawa mainstream

Maalim nash katoa ngoma na singasinga ila bado sijaipata ila wametisha mno niliona kwenye intro alipost IG
Lazima watoe ngoma kali, Nash MC nachomkubaligi misimamo, nimejaribu kupita kwenye IG yake Nash ni yuleyule nnayemjua mimi, haendeshwi na trend. Jamaa kawatengeneza mashabiki ambao wananunua kazi zake na anaishi kupitia muziki, sio mashabiki mipasho wa kina Nikki Mbishi wanaishia kumsifia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mpya hii ngom alishaend kuimba mpaka ea radio kwa dogo janja sura mbaya toka tanga jrjunior hapo baada ya kuwa ameiandika tu hiyo mistari kwenye ig yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikki anachonikera bei za album zake ni kubwa yani anajidai kwamba mziki wake ni wathaman sana yani anahisi wenzao wanauzia buguruni halafu yeye mliman city

Nash yuko stable hana longolongo album za zamani haziuzi kwa bei ambayo aliuza kipindi ambacho ni mpya, ila nikki unakuta album inamiaka mitati lakini katoa buku kwenye bei ya zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…