PostGE2025 Nikizifuatilia hizi tarehe 29/10/2025 na 9/12/2025 katika numerolojia naiona nguvu ya aina moja

PostGE2025 Nikizifuatilia hizi tarehe 29/10/2025 na 9/12/2025 katika numerolojia naiona nguvu ya aina moja

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
4,730
Reaction score
4,924
Katika numerolojia maisha na matukio yake yanaweza kupunguzwa na kuonesha nguvu yake katika namba.
Angalia hii: Tarehe 29/10/2025=2+9+1+0+2+0+2+5
=11+1+4+5
=12+9
=21
=2+1
=3
Pitia na hii: Tarehe 9/12/2025. =9+1+2+2+0+2+5
=10+4+7
=14+7
=21
=2+1
=3
Siku hizi ukiziangalia licha ya kuwa katika miezi tofauti zinztawaliwa na nguvu moja. Ni kama Tarehe hizi zina mvutano wa aina ileile jambo linaloonesha uwezekano wa kuwa na tabia nyingi zinazofanana.

Jambo muhimu ni kuwa na hadhari "proactive" na siyo kusubiri kwanza na kuchukua hadhari "reactive". Na kwa sababu kila mmoja wetu ni nguvu basi ipo haja ya kuielekeza mitetemo yetu ya kinumerolojia kwenye makusudi yetu "life path"
 
Ule uzi wa Ninja Unatisha sana. Mungu atusaidie na kutuepusha na tukio linalokuja la 9/12/2025
Matumbo joto huko hawaamini ila wataamini.. kuna bibi nimemwambia kuna maandamano tena 9 December.. akaropoka anasema ..... na mimi nimesikia hivyo hivyo waache waandamane tu na atawaua tena watakufa km kuku.. nikamwambia sawa bibi subiri siku ifike awaue tena
 
Watajua hawajui

Acha wakaze fuvu, mabadiliko ni ya lazima hata yakichelewa au yakigharimu vifo
Ukombozi unakaribia
 
Huenda kuna jambo umeliona au umelihisi ndio maana kilikupelekea kuandika hivyo, namba 3 ni utatu mtakatifu. Ili jambo lolote au kitu chochote kifanikiwe kinahitaji vitu 3

🧭
Kaka jifunze numerolojia maarifa yapo wazi tu mbona
 
Back
Top Bottom