IDDY S MHANDO
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 9,756
- 12,494
Ili hilo liwezekane mkuu jifanye mjinga siku zote za maisha yenu...though kuchokana kupo. Ila hakikisha unaziba masikio na kufumba macho.
KunA mambo ukiyafuatilia kwa umakini utayaona ukizidi kukodoa macho lazima mtagombana {fumba macho}
KunA mambo ukiyafuatilia sana kwa kuyaulizia ulizia utaambiwa haswa na ndugu zako. Watamponda sana mkeo maneno yao yatakufanya umchukie mkeo {ziba masikio}
Ukiona watu wazima wamedumu miaka mingi hadi wamezeheka pamoja ujue mmoja alijifanya mjinga "FAHARI WAWILI AWAISHI ZIZI MOJA"