Nikiwa "maarufu - celebrity" nitafanya yafuatayo...

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
Sijakulazimisha kuamini lakini haya nayoongea nimeshaanza kuyatendea kazi

Mungu akinipa Umaarufu - Celebrity nimeshaandika kutekeleza yafuatayo:

1. Kusaidia Jamii kwa asilimia 90

2. Kuwa Celebrity wa chini chini asiye na scandals ndios inawezekana

3. Kuisaidia Serikali yangu ya Tanzania pale inapochoka


Mpaka sasa nina Team ya watu 10 wanayofanya kazi na mimi
Team ya Human Resorce & Marketing
Team ya Public Relation & Mass Communication
Team ya Accounts & Finance
Team ya IT & Computer Science
Team ya Habari & Research & Development
Team ya Waigizaji fresh from school

Nataka kuwa kama Drake na team yake..
kama Oprah na team yake...
Kama Michelle Obama na team yake...
Kama Money Penny wa movie ya James Bond na team yake...

Above all nataka kusaidia Jamii yangu kwa asilimia 100... nakuwa Maarufu ninayependwa hata nikianguka mtaani watu wananibeba
Nikipita mtaani watu wanafurahi toka moyoni sio wanapanga kuniua (woi)

Wanamziki Drake na Cardi B nawapenda sana wamefanya sana kwenye jamii yao mpaka inatisha unawawazia in the next 10 yrs maisha yao yatakuwaje!?


 
Be blessed madam
amen

sema utaforce sana kila mtu akujue ,utakua tayari kuwagongea hodi unamwambia unanijua?,money penny ndo nani lakini ?hahha
na team itakuwa inafanya kazi gan labda?!

cheee sina hata huo muda kabisaa... not my classs not my plaaaace

njoo huku

my youtube channel ni

usisahau ku subscribe
 
Haa haa bongo umarufu hauji bila skendo na ukiupata ni zigo la mwiba je upo tayari kulibeba !?
 
Back
Top Bottom