Nikivyokuwa Mdogo hela yangu ikiisha hapa...

Nakumbuka bro wangu alikuja nacho kutokana south Africa,alikuwa na vimikanda vya wanyama na picha za miji mbalimbali,na picha za uchi za mademu wa kizungu,ukitaka kuangalia wanyama ilikuwa Sh 20,picha za uchi Sh 50,tulipiga sana pesa,kuna kitufe Kwa juu ukibonyeza picha inaruka inakuja nyingine
 
Tulikua tunaangalia picha za makka, marina,,,,,kuna mbaba mmoja sijui alikua anaokota nini sijui hahahaha hahahaha long fucker
Nakumbuka kipindi hich
Tulikua tunaangalia picha za makka, marina,,,,,kuna mbaba mmoja sijui alikua anaokota nini sijui hahahaha hahahaha long fucker
Nimekumbuka mbali sn, enzi hizo Magomeni Ndugumbi. Kila sikukuu, iwe eidi ama xmas lazima tukutane nazo hizo.
 
Kwetu alikuwa nacho mtoto wa ticha, alikuwa anaringa kinoma kisa hicho kidude na maisha yangu yote ya utotoni sikuwahi kumiliki.
Nina ndoto ya kumiliki hiki kitu pamoja na lile li brick game kabla ya mwaka kuisha.
 
But vimeshapitwa na wakati, unataka uviweke Makumbusho.
 
Tulikua tunaangalia picha za makka, marina,,,,,kuna mbaba mmoja sijui alikua anaokota nini sijui hahahaha hahahaha long fucker
Hatari! Dingi alitoka kuhiji mwaka91 aliniletea hicho, ila chenyewe ni cha jicho moja
 
Back
Top Bottom