Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh ok,but how was that possible, picha(static), ziwe kama Movie?, miaka gani hiyo😜Yani unalipa kiasi flani cha pesa, then unaanza kutizama Picha flani ambazo zimekaa kimpangilio kama Movie ya Picha mgando.
Mbona mi sikujui hicho aisee🤔 ni kitambo sana labda 1970's hivi?Nimeangalia sana wanyama kwenye huyo makitu
Unajua movie ni mfuatano wa picha mgando? Frame ni picha zilizo katika movie na kikawaida movie zina 24 frames per second.Ooh ok,but how was that possible, picha(static), ziwe kama Movie?, miaka gani hiyo
ooh mkuu,mimi nilitumia darubini ilikua na picha nayo za wanyamaHicho ni kifaa flani kilikua kinatumika kutizama picha zilizokuzwa.....yani unakua kama unatizama Movie but ya picha mgando.
👋 shikamoooooh mkuu,mimi nilitumia darubini ilikua na picha nayo za wanyama
marahaba mwanangu,hujambo ?👋 shikamooo
Umri mama...Ooh ok,but how was that possible, picha(static), ziwe kama Movie?, miaka gani hiyo
sijambo vipi mrejesho kuhusu miguu ya 🐓???marahaba mwanangu,hujambo ?
ooh sikuisoma boss nili save tu,nitaisoma hiyo thread kesho asubuhi then mchana nitakupa mrejeshosijambo vipi mrejesho kuhusu miguu ya 🐓???