Nikitangaza kurudi CCM

Nikitangaza kurudi CCM

Namshukuru Baba yangu kwa Mungu kumpa AKILI timamu na UPEO wa kupima na kufanya MAAMUZI sahihi kwa WAKATI sahihi.
 
Mzee

Mzee jiheshimu hata kidogo wewe si miongoni mwa ......... ambao hawana mikia waliosemwa na mwenyekiti?
1471814621276.jpg
 
Mpendazoe Akitangaza Kurejea CCM: [/QUOT

Who the hell is mpendazoe? so, kurudi CCM ndo big deal? sikutofautishi na wale jamaa wanaosimama usiku wa manane maeneo fulani ya ambiance and Ohio street!!
 
Mzee Mpendazoe humu zizini tumekushtukia na wewe na ng'ombe wenzio mliokatwa mikia tunawakwepa kama ukoma. Njaa mbaya sana bora ungebakiaga CCJ.
 
Mpendazoe Akitangaza Kurejea CCM:

Nilikuwa natamani sana kuwa mwanasiasa lakini kwa hali hii niliyoiona naomba nithibitishe pasipo shaka kwamba hapa duniani hakuna majitu majinga kama manasiasa!! Yaani uko radhi kula matapishi yako? Shame on you ong'wise!!
 
Vyeo vinakupita hivi hivi ukiangalia juzi kateuliwa Mkuu wa mkoa Arusha umetoka kapa, Jana tena DC Arusha kateuliwa holaaaa! Utanyooka tu!
 
ling'ombe lililokatwa mkia,,huyu wamemnyonya mpaka ubongo
 
Mpendazoe Akitangaza Kurejea CCM:


Moyo wa mtu ni kiza kinene...!

Wengi hawajui kwanini umeamua kuiweka hii hapa. ..wengi hawatakuelewa kwakuwa umefisha ndoto za vijana wengi wasomi...kwa ajili ya kigeugeu cha siasa
Binafsi najua njia ngumu uliyopitia hata ukaamua kurudi ccm...namkumbuka Dr. Masumbuko Lamwai...kila unapogusa wako nyuma yako...

mwisho unajiona kabisa unaadhirika na kuamua liwalo naliwe kwakuwa mwisho wa siku ni wewe na maisha yako
Hii playback yako ni njia ya kumkumbusha mkulu kuwa upo na umerudi zizini...! nakuheshimu kama kaka yangu sitaki kutumia maneno. ..bila mkia)

Umeona kimya kingi kwenye teuzi mbalimbali na most likely ukadhani labda siku ile alikuwa busy sana hakuzingatia vema Kurejea kwako ngamani...

Napenda nikuhakikishie kakaangu Fred , Bob ni mtu wa kumbukumbu anakukumbuka vizuri sana...labda pengine anasubiri uote mkia ama la anataka UPAYUKE kama mbinu mpya ya kubaki kileleni
 
Alafu tabia hii ya wanasiasa kupost/kuanzisha mada hapa Jamiiforum alafu anakimbia kusikojulikana ni mbaya sana.

Kweli mtu unaamua kurudi ulikotoka utafikiri wote wamekua malaika kwa sasa, kweli waAfrika kuja kujua nini maana ya siasa na maendeleo siyo karne hii ya 21.
 
Mpendazoe na bangi zake tangu jana hahahahahaah nadhani hizi makala anaandikiwa na CCM halafu wanampa apost hahahahahahaha
 
Back
Top Bottom