Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,792
- 6,768
Kosa linaanzia kwako kutokana na hii story yako, demu anaomba hela kwa njemba lingine wewe upo wapi kumpatia, na huenda hata demu hajatenga chai kwa kuwa hujaacha hela ya matumizi, na unategemea mida hii abaki hapo nyumbani muangaliane atakula nini? Umekazana na kuandaa kipigoHerini ya sikukuu ya kuzaliwa bwana wapendwa
leo siku imeanza vibaya sana. nimeenda kanisani kurudi nyumbani hamna ata chai. cha ajabu nakuta huyu bi dada anaongea na simu huku akiomba atumie hela aliyoaidiana na mtu mmoja ambaye nimeshamtilia mashaka. sasa kuniona akastuka na kudai kunipotezea lengo. na nilivyokuwa na njaa ata hajaandaa chakula chochote. napo andaa waraka huu ata chai sijanywa. nashangaa bi dada ananiambia anatoka kwenda kwa marafiki zake amealikwa mimi hapa njaa inaniuma na nina hasira za mbogo. hivi nikipiga huyu mtu ntakuwa nimekosea maana nimesema hapa hatoki mtu ila naona ananisimamia kama jogoo...?
Pole sana mkuu, Kweli kua uyaone.Herini ya sikukuu ya kuzaliwa bwana wapendwa
leo siku imeanza vibaya sana. nimeenda kanisani kurudi nyumbani hamna ata chai. cha ajabu nakuta huyu bi dada anaongea na simu huku akiomba atumie hela aliyoaidiana na mtu mmoja ambaye nimeshamtilia mashaka. sasa kuniona akastuka na kudai kunipotezea lengo. na nilivyokuwa na njaa ata hajaandaa chakula chochote. napo andaa waraka huu ata chai sijanywa. nashangaa bi dada ananiambia anatoka kwenda kwa marafiki zake amealikwa mimi hapa njaa inaniuma na nina hasira za mbogo. hivi nikipiga huyu mtu ntakuwa nimekosea maana nimesema hapa hatoki mtu ila naona ananisimamia kama jogoo...?
nahisi MUNGU amekuadhibu wee bila kujuaHerini ya sikukuu ya kuzaliwa bwana wapendwa