Nikipewa lift na mwanamke napaswa nikae mbele au nyuma?

Gari imepata hitilafu leo. So, wife wa jirani hapa kanipa lift sababu sote ofisi zetu zipo Posta. Nimekaa zangu siti ya mbele.

Cha ajabu wafanyakazi wenzangu wameniona wanadai nimekosea kukaa mbele. Wanadai nilipaswa kukaa nyuma.
Mimi ninavyo fahamu ni kuwa, mtu akipewa lift anatakiwa afungue mlango wa nyuma (Sio mbele); Kama mwenye usafiri akiamua kukukaribisha mbele basi haina shida unahamia mbele.
Hii sio ubaguzi ila kwa magari niliyopata lifti niligundua kuwa; mtu akitoka na gari peke yake, hutumia kiti cha mbele kuweka vitu vyake binafsi hivyo; kwa kuwa unaomba lifti huna haja ya kumsumbua ahamishe ILA yeye akipenda kuhamisha atakukaribisha mbele
 
Keep your distance. Kuna COVIDD-19.
Wakuu hembu tuweni makini kidogo, kuna mambo tuna weza yakuza wakati hayaku paswa hata kufikiriwa. Kuna mantiki ipi ukipewa lift na mke wa mtu ukae nyuma? na kuna tatizo lipi ukikaa mbele?
Kwanini watanzania tuna penda kukuza jambo mno? kuna mila gani, sheria gani,sababu zipi mpaka kuwe na masharti kama hayo? vipi kama huyo mke wa mtu ndio kaharibikiwa na gari akipewa lift na mume wa mtu akae wapi? na kwanini?
Kiuhalisi je huyu jamaa akikaa mbele gari haliendi? hawata fika posta? gari la mke wa mtu lita haribika pia kwa mwanaume kukaa mbele? je risk ya kuweka mtu sit ya nyuma usiye mjuwa ina fahamika?
HITIMISHO; Watanzania tuache imani mbovu kila wakati, ishi kuamini mafanikio na sio kila wakati ubaya. Sio kila jambo la kulikuza na kujadili mengine ni msaada kama hivyo masharti yakiwa mengi pia ladha ya msaada ina potea. Na mtu unapo kuja na mawazo kama hayo uwe na huja ya kusaidia na maelezo sio kusema mtu akae siti ya nyuma bila kueleza kwanini.
 
Gari imepata hitilafu leo. So, wife wa jirani hapa kanipa lift sababu sote ofisi zetu zipo Posta. Nimekaa zangu siti ya mbele.

Cha ajabu wafanyakazi wenzangu wameniona wanadai nimekosea kukaa mbele. Wanadai nilipaswa kukaa nyuma.
kaa nyuma ww, unataka ukae mbele ili iweje? unataka udeku mapaja ya wenyewe? hujui mwanamke akiendesha gari sketi zao huwa zinapanda juu wakati wa kuminya na kuachie break... kaka jichunge na wake za wenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom