Nikipewa lift na mwanamke napaswa nikae mbele au nyuma?

Wakuu hembu tuweni makini kidogo, kuna mambo tuna weza yakuza wakati hayaku paswa hata kufikiriwa. Kuna mantiki ipi ukipewa lift na mke wa mtu ukae nyuma? na kuna tatizo lipi ukikaa mbele?
Kwanini watanzania tuna penda kukuza jambo mno? kuna mila gani, sheria gani,sababu zipi mpaka kuwe na masharti kama hayo? vipi kama huyo mke wa mtu ndio kaharibikiwa na gari akipewa lift na mume wa mtu akae wapi? na kwanini?
Kiuhalisi je huyu jamaa akikaa mbele gari haliendi? hawata fika posta? gari la mke wa mtu lita haribika pia kwa mwanaume kukaa mbele? je risk ya kuweka mtu sit ya nyuma usiye mjuwa ina fahamika?
HITIMISHO; Watanzania tuache imani mbovu kila wakati, ishi kuamini mafanikio na sio kila wakati ubaya. Sio kila jambo la kulikuza na kujadili mengine ni msaada kama hivyo masharti yakiwa mengi pia ladha ya msaada ina potea. Na mtu unapo kuja na mawazo kama hayo uwe na huja ya kusaidia na maelezo sio kusema mtu akae siti ya nyuma bila kueleza kwanini.
 
nyumaaa huwa anakaa boss hahahaaa
FB_IMG_1623502811168.jpg
 
Unaongea tu wewe..mm nakaaga nyuma kimyaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom