Nikipenda tena nigeuke nguruwe

maliyamungu

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
554
500
Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka.

Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo.

Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei. Kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyosikia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... ;nikamtajia jina. Mke kapewa simu kusikia sauti yangu kakata simu.

Roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
 

chavalla

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
454
500
Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka. Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe Mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo mungu sio LEMUTUZ juzi nampigia simu kwenye mtandao wa We chat mtu hapokei kwakuwa nilijua yuko hotel gani nikagoogle hotel nikapata number eeeh nikapiga reception kuomba waniunganishe nae kapokea mwanaume nilivyoskia sauti ya mwanaume nikaongea kama mchina can I talk to ..... nikamtaja jina mke kapewa simu kuskia sauti yangu kakata simu roho inaniuma sana sina nguvu maumivu haya ni mazito ukitoa msiba wa mamangu hakuna naweza fananisha na maumivu haya siku nikipenda tena nigeuke nguruwe nimeweka nadhiri.
Pole sana mkuu. Unaambiwa mwanamke ni mdhaifu hujui usemi huu una maana gani, hawa viumbe hata uwafanyie nini wape kila kitu hata mpe Dunia hii yote mwambie yako. Atadanganywa na kitu kidogo tu. Atasahau vyote.
 

chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
8,511
2,000
siku ukipenda ukawa ngurue uyoo mchina atafaidi maana wanapenda ngurue kweli kweli


Ndo maisha ndugu yangu omba Mungu akupe hekima. Hii dunia kabla hujafa utapitia mambo mengi sana. Hiloo ni moja ya changamoto lisikukatishe tamaa ukafanya maamuzi yakaharibu maisha yako.
 

le madame

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
477
500
Pole sana mkuu. Unaambiwa mwanamke ni mdhaifu hujui usemi huu una maana gani, hawa viumbe hata uwafanyie nini wape kila kitu hata mpe Dunia hii yote mwambie yako. Atadanganywa na kitu kidogo tu. Atasahau vyote.
Not all!! Kuna MTU tulipanga nae, nasubiria arudi toka masomoni tutiliane saini kilammoja ale kwake and I mean it, miaka 3 tuliyokubaliana, ingawa yeye ameshaenda mbaaali na sitowezarudiana nae kabisa! I only keep the promise of those 3 yrs to me! Nashukuru nimeweza
 

zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,209
2,000
daaa! nimeumia si kidogo, ila haya mambo ya kuchunguza chunguza nayo si mazuri.

we kausha muwekee vikwazo (hahahaha tafuta uzi flani wa jamaa alimuwekea vikwazo demu wake). pokonya kimtaji taratibuuu alafu lala mbele.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom