nikipata hela

Mi ki laki changu nikipata. Nakopa elfu sitini nyingine napanda ndege naenda zangu arushaa kwa mjomba nikamuombe anikopeshe laki moja na nusu ninunue kitanda changu dodiii

Duh!, calculation zako ni aina gani ya kanuni umetumia ndugu?
 
nenda dukani kununua chochote kile.Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Natoa sadaka nanunua kitu kizuri cha kula ambacho ckifanyi mwezi mzima hadi mshahara utoke then natoka out na familia mahali palipotulia bili kwangu yeh men wat abt u
 
hahahahah...Mkuu nauli inatosha kununua kitanda hiyo...usipande ndege...mimi nitaweka heshima baa
Mi ki laki changu nikipata. Nakopa elfu sitini nyingine napanda ndege naenda zangu arushaa kwa mjomba nikamuombe anikopeshe laki moja na nusu ninunue kitanda changu dodiii
 
Nusu nachezea kamali, robo nanywea pombe, robo iliyobaki kwa vibint. halafu next day nakopa kwa waifu pesa ya ma2miz
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom