Nikiondoka sirudi tena Dar

Hahahahahahaaaa Daby siwezi kuumia coz i have my one and only Asprin
images
 
Labda umeonekana una ka chura ndio kaka jambazi kapata gia ya kukuacha salama. Vinginevyo techno ilikuwa umefika kwao.

Apo itakuwa kwa scober bug-rooney au tandale maana iyo michezo hata saa 8 mchana ipo.
 
Hahaha labda kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom