Nikiona mwanaume mweusi nachanganyikiwa

Nikiona mwanaume mweusi nachanganyikiwa

ahahahaa..hujasema unampenda mwanaume mweusi for what exactly???...kumuona tuu kuduu naye tuu au hata kuolewa naye pia?..kuwa spesifiki.

hata kuolewa nae pia ndg yangu ndo atakuwa kanimalizia tatizo langu
 
Bandugu natumai hamujambo hapo mulipo, na poleni na kazi za ujenzi wa Taifa, binafsi niko wa afya tele, Mwenzenu nina katatizo na pengine ni tatizo kubwa na linahitaji tiba, kimsingi NAPENDA MWANAUME MWEUSI tena ule weusi wa kuteleza yaani huwa nachanganyikiwa lkn bado sijabahatika kumpata, ila sijakata tamaa nawomba Mungu ipo siku atanipa.!!!

Hayatuhusu. This is your private business.
 
Umeandika mwenyewe kuwa ukiona mwanume mweusi wachanganyikiwa...sasa mie kosa langu li wapi kuendelea kukuambia kulingana na ulivyoandika!!

Halafu nikubomoe kwani mi tingantinga la Magufuli alaaa!!!
sa mtani nini lakini mwendhio kasema anachanganyikiwa akiona wakina dikeng sa si umuwache achanganyikiwe!
usizidi kumchanganya bana!
au na wewe mweuthiiii?
 
Ni vema ungetoa mfano ili umma ukuelewe, awe mweusi kama Mzee Wassira au Dr.Magufuli?
 
ahahahahhaaaaaaaaaaa unajua wazi kuwa mkoloni kuwa sijala bado lunch yangu kwanini kuniumiza mbavu zangu kiasi hiki!
aaaargh!

mtani unajua kuna wamama huwa nawaonaga wendawazimu mtaani....kumbe wanakuwa wamewaona wanaume weusi tiiii!!!
 
Umeandika mwenyewe kuwa ukiona mwanume mweusi wachanganyikiwa...sasa mie kosa langu li wapi kuendelea kukuambia kulingana na ulivyoandika!!

Halafu nikubomoe kwani mi tingantinga la Magufuli alaaa!!!

hapo kwenye Tingatinga umenichekesha sana lol haya watu8 nimekuelewa
 
Bandugu natumai hamujambo hapo mulipo, na poleni na kazi za ujenzi wa Taifa, binafsi niko wa afya tele, Mwenzenu nina katatizo na pengine ni tatizo kubwa na linahitaji tiba, kimsingi NAPENDA MWANAUME MWEUSI tena ule weusi wa kuteleza yaani huwa nachanganyikiwa lkn bado sijabahatika kumpata, ila sijakata tamaa nawomba Mungu ipo siku atanipa.!!!

Hebu kula kwa macho Bi Mkubwa....ukihisi kuchanganyikiwa nitumie PM nikupe namba zao za simu

tumblr_lrkrumXilv1qcl13oo1_1280.jpg

tumblr_m45bms7FT71r33a3xo1_400.jpg

dark-skinned-guy1.jpg

tumblr_m0tsqpI7vh1r33a3xo1_500.jpg

Djimon_Hounsou3.jpg
 
hapo kwenye Tingatinga umenichekesha sana lol haya watu8 nimekuelewa

Hahahah....hivi unajua kuwa watu8 ni mweusi tiii hebu muulize snowhite akuambie...kama vipi ntafute basi, yaani mim ni mweusi hadi ngozi inameremeta kama vinyago vya makonde mwenge...halafu ni mrefu na mwili umetuna tuna hivi... :becky:
 
BHAELEZEE BHAJUE!
kitu cha six paxes!
 
Bandugu natumai hamujambo hapo mulipo, na poleni na kazi za ujenzi wa Taifa, binafsi niko wa afya tele, Mwenzenu nina katatizo na pengine ni tatizo kubwa na linahitaji tiba, kimsingi NAPENDA MWANAUME MWEUSI tena ule weusi wa kuteleza yaani huwa nachanganyikiwa lkn bado sijabahatika kumpata, ila sijakata tamaa nawomba Mungu ipo siku atanipa.!!!
AhahahahaHahahahahaha.
Ni PM laazizi lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom