Nikiona mwanaume mweusi nachanganyikiwa

Nikiona mwanaume mweusi nachanganyikiwa

Siku hizi hawa wala hawatutishi na vifua vyao.

Unaweza kuta ni akina mama kidawa, chezeiya haki za binadamu wewe.

Akiongea anatoa sauti ya tatu, nyororo, hapo yupo kazini tu, labda home ana madera kibao.

Hebu kula kwa macho Bi Mkubwa....ukihisi kuchanganyikiwa nitumie PM nikupe namba zao za simu

tumblr_lrkrumXilv1qcl13oo1_1280.jpg


tumblr_m45bms7FT71r33a3xo1_400.jpg


dark-skinned-guy1.jpg


tumblr_m0tsqpI7vh1r33a3xo1_500.jpg


Djimon_Hounsou3.jpg
 
Sasa huwa unachanganyikiwa huku unasema hujabahatika kumpata??

Au huwa unawapata kisha wanakutosa?
 
Mmu kiboko!
Cc Kongosho......Eid wapi mpenzi?
 
Last edited by a moderator:
Bandugu natumai hamujambo hapo mulipo, na poleni na kazi za ujenzi wa Taifa, binafsi niko wa afya tele, Mwenzenu nina katatizo na pengine ni tatizo kubwa na linahitaji tiba, kimsingi NAPENDA MWANAUME MWEUSI tena ule weusi wa kuteleza yaani huwa nachanganyikiwa lkn bado sijabahatika kumpata, ila sijakata tamaa nawomba Mungu ipo siku atanipa.!!!
Hamia Senegal au South Sudan!
 
Kama uko africa wala hautapata wakat mgumu kuwapata
 
Mimi kwa wanawake weusi I love them
 
Ninazo sifa lakini napita tu kwani nimeoa.Nisije nikatiwa majaribuni.
 
nipm,si unaona Avata yangu hata sionekani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom