mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
ha ha ha ha...black kweli huyu
vipi huyu anafaa???
![]()
vipi huyu anafaa???
![]()
Ni pm tuyajenge, kwa weusi ninao wa kutoshaBandugu natumai hamujambo hapo mulipo, na poleni na kazi za ujenzi wa Taifa, binafsi niko wa afya tele, Mwenzenu nina katatizo na pengine ni tatizo kubwa na linahitaji tiba, kimsingi NAPENDA MWANAUME MWEUSI tena ule weusi wa kuteleza yaani huwa nachanganyikiwa lkn bado sijabahatika kumpata, ila sijakata tamaa nawomba Mungu ipo siku atanipa.!!!
HahahaMndengereko umenichekeshaje LOL.....