Nikiona hivi nakumbuka nyumbani

Nyumban ni nyumbani! Hatakama kichakani........! Rudi home mzee ukapate baraka kidogo
 
Duuh mambo ya ulanzi ila usijiloge unywe na jua🌞
 
Ulanzi upo pia na kyela maeneo ya ipinda vijiji hasa vya ikulu. Wapo wanaoijua ikulu humu,huko kuna shule maarufu wengi wameipitia hiyo,enzi hizo. Hata baadhi ya sehemu zingine ipinda,kama pale mpakani ipinda na talatala kuna wangoni walikuwepo maeneo hayo hizo walipanda sana mianzi ya ulanzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…