Nikiona chupi ya msichana tu nachanganyikiwa

Nikiona chupi ya msichana tu nachanganyikiwa

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,025
9k=

Jaman msaada wana MMU nataka mniambie huu nilio nao ni ugonjwa au ni hali ya kawaida,mimi mwenzenu nikiiona tu chupi ya msichana iwe imeanikwa au kavaa imechungulia aidha iwe barabarani,mtaani ,kwenye gari ,ofisini au chuoni(yaani kwa ufupi popote pale) huwa nachanganyikiwa yaani na lose control mwili unasisimka na mgegedo nao unasimama wima,yani sometimes hadi inakuwa aibu unasimama hadi mbele za watu so long as nimeiona chupi.

Weekends huwa napenda sana kwenda beach,tofauti na watu wengine kabisa kwamba wanaenda beach kula upepo mzuri mimi huwa naendaga kuangalia chupi tu za wanawake yaani hapo najisikia rahaaaa,na wadada mnavyopenda kuvaa vichupi beach mimi huwa nakua tu hoi.....!!

Sasa nataka mniambie hii ni hali ya kawaida au ugonjwa.
 
Utakuwa na tatizo, nenda kaonane na daktari unajua hata vicheche ni wagonjwa ila huwa hawajijui mtu gani wa kawaida unazini na wanaume / wanawake zaidi ya watatu huo ni ugonjwa. Hata wewe ni mgonjwa haiwezekani ukatamani kila mwanamke unayemuona chupi yake iko wazi! Huo si ulijali bali ni ugonjwa na kama si ugonjwa basi pepo la ngono liko pamoja nawe liondoe kwa maombi.Usipokuwa makini unaweza kuishia kubaka live kabisa na ukapata matatizo makubwa.
 
Siku ambayo utafanikiwa kwenda kwenye miji inayofanya haya makitu(Carnivale) nina uhakika hicho kifanyio chako kitaparalaizi....


paparazzifeate-620x350.jpg
 
sio ugonjwa ndugu, nadhani bado hujaoa ukiowa utaona vitu vya kawaida eti.
 
Siku ambayo utafanikiwa kwenda kwenye miji inayofanya haya makitu(Carnivale) nina uhakika hicho kifanyio chako kitaparalaizi....


paparazzifeate-620x350.jpg

Oh mama.. umemuonyesha hapo lazima suruali imbane... chezea akina rihanna weye..
 
9k=

Jaman msaada wana MMU nataka mniambie huu nilio nao ni ugonjwa au ni hali ya kawaida,mimi mwenzenu nikiiona tu chupi ya msichana iwe imeanikwa au kavaa imechungulia aidha iwe barabarani,mtaani ,kwenye gari ,ofisini au chuoni(yaani kwa ufupi popote pale) huwa nachanganyikiwa yaani na lose control mwili unasisimka na mgegedo nao unasimama wima,yani sometimes hadi inakuwa aibu unasimama hadi mbele za watu so long as nimeiona chupi.Weekends huwa napenda sna kwenda beach,tofauti na watu wengine kabisa kwamba wanaenda beach kula upepo mzuri mimi huwa naendaga kuangalia chupi tu za wanawake yaani hapo najisikia rahaaaaaa.........na wadada mnavyopenda kuvaa vichupi beach mimi huwa nakua tu hoi.....!!sasa nataka mniambie hii ni hali ya kawaida au ugonjwa

Sheikhkamahutakisiuondoke.Mbonaumenunahalafuumetuliatu..jpg
Inawezekana wewe ni mpigaji mzuri sana wa nyeto.
 
Sio kosalako, niwakatu tu wa kizazi cha Vidonge na Sindano
 
Huo ni ugonjwa kitaalamu tunaita PARAHILIA Sexual DisorderSoma hapa😛araphilias are sexual behaviors in which unusual objects or scenarios are necessary to achieve sexual excitement.There are two types of preferences for nonhuman objects: fetishism and transvestism.FetishismA fetish exists when a person is sexually aroused by a nonliving object.The more extreme form of fetishism is when a nonliving object completely substitutes for a human partner, such as underwear, boots, and shoes or such textured objects as velvet or silk. Here, orgasm is achieved when the person is alone, fondling the object.
 
Mimi huwa nazinusa kama zimesaulika bafuni, sasa sijui nami ni mapepo au ugojwa, msaada tafadhali.
 
Siku ukimtembelea mama yako kijijini waambie waweke chupi zake mbali na maeneo utayokuwepo....mada za kipumbavu zimeshamiri sana JF

yaani hata nikikutembelea kwenu weka mbali chupi za mama yako na mkeo
 
Back
Top Bottom