mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,413
- 8,398
Nikishave nawashwa mpaka natamani kujikuna mbele za watu msaada tafadhali
ukishamaliza kushave paka spirit kweye pamba kisha futa futa yale maeneo uliyonyoa,utaskia maumivu kwa mbali,ni ile michubuko uliyoipata katika kushave,ukimaliza chukua ktambaa ama kataulo chovya kwenye maji yamoto kiasi(moto usiounguza) kandakanda eneo ulilonyoa h kisha oga ukishamaliza jikaushe vizuri kisha paka talcum powder pale uliponyoa,hutasikia tena muwasho wala vipele.paka poda kila unapokoga,walau siku mbili.Nikishave nawashwa maka natamani kujikuna mbele za watu. Msaada tafadhali
Wembe mkuu.Unashave kwa kutumia chupa nini mkuu?
Asante ngoja nijaribu hii yaani hii kitu inaninyima raha kabisa.ukishamaliza kushave paka spirit kweye pamba kisha futa futa yale maeneo uliyonyoa,utaskia maumivu kwa mbali,ni ile michubuko uliyoipata katika kushave,ukimaliza chukua ktambaa ama kataulo chovya kwenye maji yamoto kiasi(moto usiounguza) kandakanda eneo ulilonyoa h kisha oga ukishamaliza jikaushe vizuri kisha paka talcum powder pale uliponyoa,hutasikia tena muwasho wala vipele.paka poda kila unapokoga,walau siku mbili.
Poa mkuu,shemejiyo alikuwa na tatizo kama lako,nikamnyoa kisha nikamfanyia hyo process nliolezea hapo juu ya kusterilise.tokea hapo tatizo limekwisha kabisa.ulivyoandika hapo kuwa inafikia mpaka unatamani kujikuna hadharani nikamkumbuka,mana naye alilalamika hivyohivyo.Asante ngoja nijaribu hii yaani hii kitu inaninyima raha kabisa.
Asante sikuwa na spirit lakini nimepaka poda baada ya kukanda na maji ya moto siwashwi tena asante. Pia je kuna vifaa ambayo ni vzr zaidi kuliko nyembe za kawaida?.Poa mkuu,shemejiyo alikuwa na tatizo kama lako,nikamnyoa kisha nikamfanyia hyo process nliolezea hapo juu ya kusterilise.tokea hapo tatizo limekwisha kabisa.ulivyoandika hapo kuwa inafikia mpaka unatamani kujikuna hadharani nikamkumbuka,mana naye alilalamika hivyohivyo.
Asante na wewe kwa kushukuru,kuna shaver spesho kwaajili ya hayo maeneo,zinauzwa madukani,nadhani kwenye maduka ya vipodozi pia zipo nikiweza ntatupia picha baadae.pia ukiwa unanyoa kule unatakiwa uwe gentle,kama unapapasa vile,usitumie nguvu ili kuepuka michubuko.Asante sikuwa na spirit lakini nimepaka poda baada ya kukanda na maji ya moto siwashwi tena asante. Pia je kuna vifaa ambayo ni vzr zaidi kuliko nyembe za kawaida?.
Nitashukuru sana sijawahi kutumia after shave yoyote tangu nianze zoezi, nikishakwatua majani nasonga mbele. Na mashine nzuri tafadhali nishauri.Asante na wewe kwa kushukuru,kuna shaver spesho kwaajili ya hayo maeneo,zinauzwa madukani,nadhani kwenye maduka ya vipodozi pia zipo nikiweza ntatupia picha baadae.pia ukiwa unanyoa kule unatakiwa uwe gentle,kama unapapasa vile,usitumie nguvu ili kuepuka michubuko.
Mkuu mi sjawahi tumia after shave huko chini ila natumia shaver kama zile za kunyolea ndevu ila zipo spesho za kunyolea huko city center zinakuwa softisofti hivi.usitumie kiwembe cha kawaida.Nitashukuru sana sijawahi kutumia after shave yoyote tangu nianze zoezi, nikishakwatua majani nasonga mbele. Na mashine nzuri tafadhali nishauri.
Asante best.Mkuu mi sjawahi tumia after shave huko chini ila natumia shaver kama zile za kunyolea ndevu ila zipo spesho za kunyolea huko city center zinakuwa softisofti hivi.usitumie kiwembe cha kawaida.
karibu tena.Asante best.
Kuna hii Gillette Venus razor,wanazo mpaka mashine za umeme,just google Gillette Venus.Nitashukuru sana sijawahi kutumia after shave yoyote tangu nianze zoezi, nikishakwatua majani nasonga mbele. Na mashine nzuri tafadhali nishauri.
😂😂😂😂😂✌Pole sana,acha kunyoa
Unajinyoa halafu unaoga maji ya kisima kifupi unategemea nini