Nini dawa ya muwasho sugu sehemu za siri?

Iz ni fangas za aina gani kama hospital nimeenda lakini Kila napo enda sijawah chukuliwa vipimo Wala nn Kila dactar unaemuelezea anakuandikia dawa tu bac huu mwaka wa Saba sas nawashwa mno sina aman kama Kuna sehem wanavipmo mniambie niende jaman
 
Oyaaa usijali .

Wewe ni mwanamke au mwanaume?.
 
Iz ni fangas za aina gani kama hospital nimeenda lakini Kila napo enda sijawah chukuliwa vipimo Wala nn Kila dactar unaemuelezea anakuandikia dawa tu bac huu mwaka wa Saba sas nawashwa mno sina aman kama Kuna sehem wanavipmo mniambie niende jaman

Waombe ufanyiwe culture ili upate dawa sahihi,pia zingatia sana mazingira yako hasa boxa zako,mashuka,kama una share madodoki ya kuogea,ndoo za kuogea,pia zingatia hata wanawake unao lala nao yawezekana wanakuambukiza hizo fangasi,hakikisha una vaa boxa safi kavu na zisibane ziwe za cotton.

Ukianza matibabu badili boxa tupa ama hakikisha ukizifua anika juani kisha zipige pasi ndio uvae.

Pia vyema ukapata dawa za kupaka na kumeza.
 
Nasumbuliwa na muwasho sugu sehemu za Siri kwa muda mrefu na nimetumia dawa nyingi sana sijapona muwasho upo mpaka sehemu ya aja kubwa.i.
Kwa sababu hayo maeneo unapowashwa ni maeneo NYETI sana nashuri usitumie dawa hovyo hovyo.nenda hospitali ukapimwe vizuri.

Badilisha hospitali kama kama umetibiwa hujapona.Kama uko Dsm anza na Regency hospital.ma doctor wetu wa Bongo ni kama mafundi gereji tu, sometimes ramli nyingi, madawa mengi, utalamu kidogo, ilmradi idadi ya wagonjwa aliowatibu iwe kubwa apate kamisheni kubwa.

Ukienda hapa hujapona baada ya kumaliza dose nenda na hospital nyingine ukajaribu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom