Nikinyoa napata muwasho wa ajabu

Nikishave nawashwa maka natamani kujikuna mbele za watu. Msaada tafadhali
ukishamaliza kushave paka spirit kweye pamba kisha futa futa yale maeneo uliyonyoa,utaskia maumivu kwa mbali,ni ile michubuko uliyoipata katika kushave,ukimaliza chukua ktambaa ama kataulo chovya kwenye maji yamoto kiasi(moto usiounguza) kandakanda eneo ulilonyoa h kisha oga ukishamaliza jikaushe vizuri kisha paka talcum powder pale uliponyoa,hutasikia tena muwasho wala vipele.paka poda kila unapokoga,walau siku mbili.
 
Asante ngoja nijaribu hii yaani hii kitu inaninyima raha kabisa.
 
Poa mkuu,shemejiyo alikuwa na tatizo kama lako,nikamnyoa kisha nikamfanyia hyo process nliolezea hapo juu ya kusterilise.tokea hapo tatizo limekwisha kabisa.ulivyoandika hapo kuwa inafikia mpaka unatamani kujikuna hadharani nikamkumbuka,mana naye alilalamika hivyohivyo.
 
Asante sikuwa na spirit lakini nimepaka poda baada ya kukanda na maji ya moto siwashwi tena asante. Pia je kuna vifaa ambayo ni vzr zaidi kuliko nyembe za kawaida?.
 
Asante na wewe kwa kushukuru,kuna shaver spesho kwaajili ya hayo maeneo,zinauzwa madukani,nadhani kwenye maduka ya vipodozi pia zipo nikiweza ntatupia picha baadae.pia ukiwa unanyoa kule unatakiwa uwe gentle,kama unapapasa vile,usitumie nguvu ili kuepuka michubuko.
 
Nitashukuru sana sijawahi kutumia after shave yoyote tangu nianze zoezi, nikishakwatua majani nasonga mbele. Na mashine nzuri tafadhali nishauri.
 
Mkuu mi sjawahi tumia after shave huko chini ila natumia shaver kama zile za kunyolea ndevu ila zipo spesho za kunyolea huko city center zinakuwa softisofti hivi.usitumie kiwembe cha kawaida.
 
Nitashukuru sana sijawahi kutumia after shave yoyote tangu nianze zoezi, nikishakwatua majani nasonga mbele. Na mashine nzuri tafadhali nishauri.
Kuna hii Gillette Venus razor,wanazo mpaka mashine za umeme,just google Gillette Venus.
Gillette_Venus_Razor.jpg
 
Back
Top Bottom