ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 923
- 1,304
Mm ilishanitokea ila nilikuwa siombwi Pesa ila nilitaka kumwacha akawa hataki nilichofanya kwa kuwa simpendi aliona picha yy mwenyewe akaacha kunizonga...inaonekana ww bado unampenda sanaa
Miez 3 tu u nashindwa je ingekuwa miaka mkuu Fanya maamuz,king'ang'anizi kwan anakuvutia oxygen!!?Mkuu Sijashindwa ila huyu mwanamke ni king'ang'anizi.
Kumbe ndo ka tabia kenu[emoji18] [emoji18] [emoji18]Maandishi yako yanaonesha bado unampenda sana huyo mwanamke aiseeee......
Na ukweli ni kwamba ungekua haumuhitaji tena, ungefanya kama ninavyo fanyaga mimi.
Note: mwanaume kama hamuhitaji mwanamke, hukaa kimya tu tena bila mijadala ya tuachane ama lah
Mpenzi hayalazimishwi aiseeee....Kumbe ndo ka tabia kenu[emoji18] [emoji18] [emoji18]
Umenena vema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alafu watu wanamuita "mkuu" uyu dogo..
Huku JF unaweza ukakuta unamuita mtoto wako "mkuu"