Nikimwambia tuachane anakata simu

Nikimwambia tuachane anakata simu

Una umri
Ndugu zangu Wana Jf, nisaidieni kuvunja haya mahusiano.

Nimekuwa katika mahusiano ya uchumba kwa takriban miezi 3 lakini niliyokutana nayo ni siri yangu. Kwa ufupi dem ana sifa zifuatazo:

1:Ukimpigia cm mtaongea vizuri ila mwishoni lazima aombe hela ya saluni/viatu /nguo. Cha kushangaza sijawahi kuona hata nywele zake maana Muda wote ni leso kichwani.

2:Amemaliza chuo yupo kwao, nilimshauri nimtafutie kazi afanye kwa Muda akaniambia kwao hawana sheeda.

3:Akipiga cm naongea na cmu nyingine ni kesi kubwa mno,,,!hadi ugomvi.

4:Kutukana kwake ni kawaida Sana. Wala haogopi.

Kwetu sijampeleka kwao sijaenda. Sasa nimeamua kuachana naye lakini ameshindikana. Kila nikianzisha mada ya kuachana anakata simu halaf nikituma sms hajibu. Baada ya siku mbili anarudi tena. Sasa nimechoka nisaidieni ndugu yenu.... Asante.
Unaumri gani?
Shule zifunguliwe tu sasa
 
We achana nae endelea na maisha yako.....ucjipe stress maisha yenyewe mafupi aya..
 
Ndugu zangu Wana Jf, nisaidieni kuvunja haya mahusiano.

Nimekuwa katika mahusiano ya uchumba kwa takriban miezi 3 lakini niliyokutana nayo ni siri yangu. Kwa ufupi dem ana sifa zifuatazo:

1:Ukimpigia cm mtaongea vizuri ila mwishoni lazima aombe hela ya saluni/viatu /nguo. Cha kushangaza sijawahi kuona hata nywele zake maana Muda wote ni leso kichwani.

2:Amemaliza chuo yupo kwao, nilimshauri nimtafutie kazi afanye kwa Muda akaniambia kwao hawana sheeda.

3:Akipiga cm naongea na cmu nyingine ni kesi kubwa mno,,,!hadi ugomvi.

4:Kutukana kwake ni kawaida Sana. Wala haogopi.

Kwetu sijampeleka kwao sijaenda. Sasa nimeamua kuachana naye lakini ameshindikana. Kila nikianzisha mada ya kuachana anakata simu halaf nikituma sms hajibu. Baada ya siku mbili anarudi tena. Sasa nimechoka nisaidieni ndugu yenu.... Asante.
Na wewe bwana miezi 3 unataka mpelekane home?
Halafu wewe ni mwanaume wa ajabu, unampigia cm tena?
1. Usimtafute asome namba.
2. Speak to her face,mchane live aiseee huruma za kijinga ztakupeleka pabaya.
 
utoto some time unakera sana../ yaani kuacha unashindwa / mnataka muachane kwa kubembelezana?,ajabu sana...
 
Nitumie namba yake niongee nae. Haiwezekani akusumbue kiasi hicho. Hembu nishurie hiyo namba nimuweke sawa. Hana adabu kabisa huyo.
Mkuu nakukubali sana kwa jinsi unavyojua kuwakanya wanaosumbusumbua kama binti yule, sasa jamaa akurushie no hatojutia
 
Usijibu sms zake wala kupokea simu yake ...ikiwezekana tembeza block tuu kila mahali invluding social media n.k
 
Unatushusha hadhi wanaume. Yani kumwacha mwanamke mpaka ujadiliane naye tena! Au hujaamua kumwacha, bado unampenda! Akh, acha kuwasiliana naye, usipokee wala kujibu sms yake....kaa kimya. Simple.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom