Nikimuona Moyo unakukuruka

Nikimuona Moyo unakukuruka

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
1,575
Reaction score
3,106
Huyu Dada ni mzuri Sana Kila nikimuona Moyo mapigo yanaenda Kasi. Najihisi ni kama sijui Niko wapi.Nashindwa kuacha kumwangalia.

Namwangalia mpaka anajishtukia. Nashindwa nianze gia ipi kuingia kwake.Wakuu wenye uzoefu Naombeni maelekezo yenu .

Nikimwona ninakuwa na imagine vitu vingi vya kimapenzi ninamfanya kama vile vya kwenye tamthilia(mapenzi ya kwenye video).Natamani nimfanye awe wangu wa kumalizia shida zangu.

Nimemwambia namtani nikamwambia twende nyumbani akasema "Umeshasema unanitamani unataka kunipeleka nyumbani kwako kunifanya nini".Nikamjibu asiwe na mawazo hayo.

Nimemwambia aje basi tuongee Anadai kwamba nitamwambia nini.Nikamwambia Njoo utaona hukuhuku kwangu lakini kakataa. Mpaka sasahivi namuwaza huyu Binti.

Nawaza kuingia asalini maana Moyo umezama kwake.Wakuu NAOMBA msaada wenu Moyo wangu unakukuruka nikimwona nifanyeje awe wangu wa kumalizia shida zangu.
 
Tatizo umejaa meno kwenye kinywa..😂
Na mbaya zaidi binti kaisha jua unampenda na haujiamini...🤣
 
Huyu Dada ni mzuri Sana Kila nikimuona Moyo mapigo yanaenda Kasi. Najihisi ni kama sijui Niko wapi.Nashindwa kuacha kumwangalia.

Namwangalia mpaka anajishtukia. Nashindwa nianze gia ipi kuingia kwake.Wakuu wenye uzoefu Naombeni maelekezo yenu .

Nikimwona ninakuwa na imagine vitu vingi vya kimapenzi ninamfanya kama vile vya kwenye tamthilia(mapenzi ya kwenye video).Natamani nimfanye awe wangu wa kumalizia shida zangu.

Nimemwambia namtani nikamwambia twende nyumbani akasema "Umeshasema unanitamani unataka kunipeleka nyumbani kwako kunifanya nini".Nikamjibu asiwe na mawazo hayo.

Nimemwambia aje basi tuongee Anadai kwamba nitamwambia nini.Nikamwambia Njoo utaona hukuhuku kwangu lakini kakataa. Mpaka sasahivi namuwaza huyu Binti.

Nawaza kuingia asalini maana Moyo umezama kwake.Wakuu NAOMBA msaada wenu Moyo wangu unakukuruka nikimwona nifanyeje awe wangu wa kumalizia shida zangu.
Inaonesha umempa nafasi kubwa kwenye mawazo yako, kwanza punguza kumuwaza sana na kuwaza maisha yatakavokua ukiwa naye.
Usitumie njia unazoona kwenye muvi.
Jitahidi ufanye mazungumzo ya kumjua, mfanye afurahi na mchombeze.
Mualike mwanamke kwako kufanya kitu, mfano kucheza karata au kama una wine mwalike kunywa wine lakini mualike baada ya kuona unaenda naye vizuri. Kupiga stori sio sababu nzuri sana labda kama mwanamke anakukubali sana. Usimwombe, fanya kumualika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom