Nikimtazama Tundu Lissu huwa nacheka sana kwa anayoyafanya

Anna, mimi sitaki kubishana na wewe kwani unalipwa kwa kazi hiyo.

Wewe mkazi wa jimbo la Lisu si ndio?
Leta fact kuwa Lisu kafanya hiki na hiki jimboni kwenu.

Jimbo la Lisu ndio jimbo masikini kuliko yote hapa TZ. Lisu yupo kimya wakati watu wa jimboni kwale usafiri ni wa punda kwenda vituo vya afya wenzake wanatoa magari ya wagonjwa yeye yupo bize kula pesa za jimbo pasipo kuzitumia matumizi ya maana.

Hizi ndio fact za jimbo la Lisu. Njaa kila mwaka. Yeye kwa kuwa anakula haoni hata sababu wa kuwasemea watu wake. Yeye harakati kila siku. Huo ni utoto na unachekesha sana.
 
Una hakika Lisu ndo anakufanya ucheke? maana watu wa type yako inawezekana mna kaugonjwa fulani hivi nasikia ukikapata unacheka tu.Wahi hospital maana hakuna ugonjwa mzuri hata kama una kupa sababu za kucheka
 
Hapa unaleta mbwembwe za kitoto. Nyie mmeanzisha kuwa mtoto bwana Lisu kapata bra bra. Sasa mbona hamsemi hata shule aliyo soma, amemaliza lini na jina lake nani ili tuchungulie matokeo?

Hizo porojo za vichekesho peleka jukwaa la Jocks. Hapa tunaongeleea vitu vya maana kwa ajili ya nchi.

ww lazima utakuwa ni mzee, maana wazee ndio wana propaganda zisizo na mvuto.
 
hivi nawe umejiona umeandika taarifa,aisee hii nchi ni bora tungeendelea kutawaliwa na wakoloni,yaan hawa ndio wasomi wetu,nashukuru kwa utafiti wa juzi kuwa ASILIMIA 61 YA WAHITIMU VYUO VIKUU NI ****** wengine ndio hawa,eti wema sepetu yaan hata kama unalipwa buku 7 ni ujinga kuaibisha fani na elimu yako,haya mambo ya eti ange,ninge kama mtu hata kwenye chama chake hakupitishwa utamlinganishaje na lissu,yaan hata chama chako unakikejeli kilimuacha Wema,hivi we ni wa kujilinganisha na Lissu au kumkosoa Lissu,hujafanya utafiti halafu unasema jimbo la lisu ni maskini kuliko yote Tanzania,shame on you,unafahamu chanzo cha umaskini Tanzania,unafahamu kazi za ubunge ni nini,unatambua uharakati ni nini,unatambua kazi za mwanasheria mkuu wa chama au nchi ni zipi,shame on you,kama huna cha kuandika uwe unakaa kimya ,yaan ukitaka uonekane kwa mkulu ni lazima umseme Lissu,shame on you tena na tena
Wewe pia unanichekesha sana. Lisu anatafuta faida yake binafsi sio wanairamba.
 
Huyu bwana huwa ananichekesha na mbwembwe zake za kitoto. Yaani Tundu Lissu baada ya muda mfupi atakuwa mzee, baadae watoto na vijana wajifunze kwake.

Lakini cha ajabu bwana Lissu anajitoa ufahamu na kusahau nafasi aliyo nayo ya ubunge kutetea maslahi ya wananchi wake wa jimbo lake. Jimbo la Lissu ni jimbo masikini kuliko majimbo yote Tanzania. Cha kushangaza badala ya bwana Lissu kuhamasisha watu wafanye kazi hatimae wapate kipato na wapate maendeleo yeye kila kukicha kutafuta kiki ili aonekane kwenye vyombo vya habari.

Nakumbuka Wema Sepetu alipotangaza nia ya kuchukua jimbo la Lissu. Bwana Lissu alianza kiweweseka. Wewe bwana Lissu yaani Wema Sepetu aliaza kukutoa jasho wakati akiwa nje ya uringo. Kweli nikikutazama huwa ninacheka sana.

Bwana Lissu juzi juzi ulimwaga manyanga bungeni na kuweka mpira kwapani. Wewe Lissu hebu kaa ujitafakari kama kweli unania njema kwa wananchi waliokuchagua. Jipime na utafakari kisha uone ni namna gani mfalme wa japan alivyofanya.

Wewe Lissu huoni wenzako akina Lema wamesoma alama za nyakati, huwaoni akina Mnyika wanajitahidi kutatua kero za wananchi.

Bwana Lissu sijawahi kukusikia ukiongelea kero za jimboni kwako zaidi ya kuja mitaani na kujitoa ufahamu. Ninakukumbusha tu kwamba ngoma unayoicheza ni ya kitoto wala haikeshi.

Wewe Lissu unakoelekea siko tafadhali rudi kwenye njia sahihi. Waungwana huheshimu wakubwa. Najua wewe ni muungwana sana ila huenda kuna mikataba umeingia inakubana.

Lissu huwa ananichekesha sana.

Wewe ndiye unayechekesha kama hujijui!!

Kwa sababu unatudanganya asubuhi hii kuwa jimbo la Lissu ndilo maskini kuliko yote Tanzania!!

Kwa sababu unatudanganya kuwa Lissu ndiye mwenye jukumu la kuwapa maendeleo watu wa jimbo lake wakati kwa zaidi miaka 55 CCM ndiyo wanaongoza serikali inayokusanya kodi ambayo in return inapaswa irejeshwe kwa wananchi wote kwa mfumo kutoa huduma za kijamii na uwezeshaji (maendeleo)!!

Aisee, honestly lazima niseme kuwa wewe ni zuzu sana na unatakiwa kurudi darasani kujifunza!!

Huwezi kuleta mada ya kijinga kama hii kwenye jukwaa lenye watu wenye uelewa na ufahamu wa mambo halafu ubaki salama bila kushambuliwa mpaka utepete!!

Next time, fikiria kwanza kabla ya kuposti mada za kipropaganda za kijinga za kiCCM CCM hapa!
 
Wewe ndiye unayechekesha kama hujijui!!

Kwa sababu unatudanganya asubuhi hii kuwa jimbo la Lissu ndilo maskini kuliko yote Tanzania!!

Kwa sababu unatudanganya kuwa Lissu ndiye mwenye jukumu la kuwapa maendeleo watu wa jimbo lake wakati kwa zaidi miaka 55 CCM ndiyo wanaongoza serikali inayokusanya kodi ambayo in return irejeshe kwa wananchi wote kwa mfumo kutoa huduma za kijamii (maendeleo)!!

Aisee wewe ni zuzu sana.

Huwezi kuleta mada ya kijinga kama hii kwenye jukwaa lenye watu wenye uelewa na ufahamu wa mambo halafu ubaki salama bila kushambuliwa mpaka utepete!!

Next time, fikiria kwanza kabla ya kuposti mada za kipropaganda za kijinga za kiCCM CCM hapa!
Kwikwikwi. Kutokana na mawazo yako finyu hivi, Ngoja nikusaidie kidogo. Hivi unajua mwajukumu ya mbunge? Unajua kuwa wabunge huwa wanapewa pesa kwa ajili ya maendeleo ya jimbo?
Pia unajua ni nani anaye wakilisha wananchi kusemea matatizo yao ili serikali itimize?

Lisu kila siku anafanya uanaharakati badala na kuhamasisha wananchi wafanye kazi. Yeye anahamasisha watu wasilime, watu wasifanye biashara huku jimbo lake likiwa masikini kuliko majimbo yote Tanzania.

Hafanyi jitihada yoyote ya kuwatoa kwenye ndimbwi la umasikini wa kutupwa. Wenzake wanazitumia pesa za jimbo kwa maendeleo ya wananchi wake. Wananunua magari kwaajiri ya kusafirisha wagonjwa. Yeye anafurahia kuona wanairamba wakisafirisha wagonjwa kwa kutumia punda.

Huyu jamaa ananichekesha sana.
 
Chadema inafahamika kwa kuwatumia watu na baada ya hapo kuwaita wasaliti; Refer, Dr. Slaa, Kabwe the list goes on..
 
Kwikwikwi. Kutokana na mawazo yako finyu hivi, Ngoja nikusaidie kidogo. Hivi unajua mwajukumu ya mbunge? Unajua kuwa wabunge huwa wanapewa pesa kwa ajili ya maendeleo ya jimbo?
Pia unajua ni nani anaye wakilisha wananchi kusemea matatizo yao ili serikali itimize?

Lisu kila siku anafanya uanaharakati badala na kuhamasisha wananchi wafanye kazi. Yeye anahamasisha watu wasilime, watu wasifanye biashara huku jimbo lake likiwa masikini kuliko majimbo yote Tanzania.

Hafanyi jitihada yoyote ya kuwatoa kwenye ndimbwi la umasikini wa kutupwa. Wenzake wanazitumia pesa za jimbo kwa maendeleo ya wananchi wake. Wananunua magari kwaajiri ya kusafirisha wagonjwa. Yeye anafurahia kuona wanairamba wakisafirisha wagonjwa kwa kutumia punda.

Huyu jamaa ananichekesha sana.

Na ndiyo maana watu wake wamechagua tena na wataendelea kumchagua tena kwa kura halali zisizo za wizi kama za wale wa kwenu pamoja na Magufuli!!

Sasa kama anawaambia watu wake wasifanye kazi na wao wanakubaliana naye, wewe kinachokuwasha ni nini sasa?

Au watu wa jimbo la Lissu wamewahi kuja kwako kuja kukuomba ugali wa kula kwa sbb hawafanyi kazi? Wamewahi kuja kukuomba sehemu ya kulala kwa sbb hawana nyumba??

Propaganda zingine bwana, ni za kijinga sana. Eti Jimbo la Lissu ndo maskini kuliko yoote Tanzania badala useme tu kuwa Tanzania ni nchi maskini kuliko zoote duniani!!
 
Wewe huoni kila mwaka jimbo la Lisu wanapelekewa Mahindi ya msaada!!? Unadhani yanatoka wapi?
Mwaka 2020 Wema Sepetu anatia timu lazima Lisu aweke mpira kwapani. Lisu anaogopa sana wanawake. Bungeni kakimbia.

Yaani unanichekesha sana kwa mawazo yako hayo. Kwikwikwi!!!
 
Mheshimiwa lisu Salam,

Ume hit vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwa Muda mrefu sasa ukipambana na serikali, especially Rais Magufuli, kuhusu aina ya utawala wake.

Unakosoa utendaji wake, kwa kumwambia nchi anaiendesha kidikteta.
Sitaki kuzama ndani kuhusu neno Dictator.
Niseme tu kukosoa na kuelekeza kwa kutumia lugha isio uzi na kukera wengine, namna bora ya good governance ni jambo jema.

Lakini ninachokiona kwa sasa pamoja na yote, Kuna hali inayoonyesha kwamba ipo league baina ya wewe na utawala wa awamu ya Tano ya Rais Magufuli, Nani zaidi.

Ni kweli wewe ni mwanasheria mzuri. Lakini haimaanishi Kati ya watanzania wote nchini waliosomea sheria wewe ni class ya juu kuliko wao.

Tofauti Kati yako na hao wengine ni kwamba wao si wabunge, si wanasiasa na hawatumii media kama unavyoitumia wewe.

They are silent, watching you.

Sifa nyingi sana unapata kwenye mitandao, ya kua wewe ni kiboko ya Rais Magufuli.
Nashauri ucheze siasa kwa step sahihi kabisa, kwani siasa zina gharama yake.
Hao wanaokuita kiboko , kesho ndio wa kwanza kukubeza na kukudharau, mifano unayo.

The world is not fair and shall not at all.
Nimesoma baadhi ya magazeti kwamba Kuna mpango wa kutaka kukuvua ubunge. Utavuliwaje ubunge wakati sheria zipo na wewe ni nguri wa sheria na ukizingatia huna kosa?

Mwisho nakushauri utumie busara kila jambo kabla ya kuongea na kutenda.
 
Hata ngoma ya Uchwara inavuma sana nayo itapasuka tu. Mkapa aliwaita UKAWA malofa na wapumbavu hatujamuona kulipishwa million 7 wala kuomba radhi. Lakini Lissu kumwita kijiuchwara imekuwa tishio.
 
Back
Top Bottom