Nikimsaidia kuna shida jamani?

Nikimsaidia kuna shida jamani?

Hapo ujue jana yake tu katoka kupigwa nao. Na huyo huyo..
Wewe gonga ila usizame
 
Wajeda kusaidiana we msaidie inawezekana mjeda naye akakusaidia shida zako... maisha mafupi haya
 
Huu muda ungetakiwa uwe unatoa msaada!ngoja wakuwahi wenzako.
 
hilo ndilo la msingi mkuu!vigezo na masharti lazma vizingatiwe,maisha haya usitengeneze maadui bali ongeza marafiki!
Usimle mke ya mangi utang'ang'ania bure yan mtang'ang'aniana kama sumaku
 
demu ni kisu balaa,mimi nikadhani labda jamaa kitu haipandi mlima nini,yani yule mtoto hujiulizi mara mbilimbili
Sijui habari yako ina ukweli kiasi gani lakini umenikumbusha kuhusu kisa kimoja cha kweli. Kulikuwa na mama mmoja ameolewa. Alikuwa bado ni kijana hivi, na mume wake alikuwa mtu wa makamo. Basi yule mama akamfuata jamaa yangu mmoja akamwambia mzee anamgusagusa tu hivyo afanye kweli. Jamaa ajitosa mzima mzima yakaanza mapenzi moto moto. Akapewa na umeneja wa duka la yule mama. Baada ya kitu kama mwaka mama wa watu akaugua hoi. Mwezi haujaisha akafariki. Wakati wa mazishi ndiyo tukapata undani wa mambo. Kumbe mumewe alikuwa amesusa kulala naye kwa sababu alishapata taarifa kuwa anatembea na jamaa mmoja mwenye mawaya. Mshike mshike jamaa yangu naye akanza kuumwa. Mpaka kesho ni mtu wa dawa za kurefusha maisha.
 
Ogopa sana maneno anayosema mwanamke, mara nyingi si wakweli wanatafuta huruma ili wapate wanachotaka. Unaweza kukuta huyo mangi anamkaza kila siku hata siku aliyokuambia asubuhi kapigwa cha kokoriko. Usimwamini mwanamke hata siku moja maneno yao ndio yalimponza hata Adam katika bustani ya Aden. Wewe kama ukiamua kumla mle ila usimwamini anachosema.

Kuna demu aliwahi kuniambia mumewe hajamgusa kwa miaka miwili baada ya miezi kama mitano hivi namkuta na mumewe na huyo dada ana mimba nikajisemea rohoni wanawake sio wa kuwaamini
 
Gusa unase nadhan mganga wake kamwelekeza atakaye mla mke wake ndo atakua msukule wa kmweka madukan .maana hii si kawaida mwaka mtu hatak kumgusa mkewe
 
kama ushamla poa......mwambie akupe mbinu za kuchota pesa kwa mangi huku ukijiandaa na k.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom