Aragorn son of Arathorn
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 789
- 832
Una jini mahaba, halitaki ukae na mtu
Kuna kijana nnampenda sana na pia tumeshibana mno kiasi kwamba hua tunapiga stori za hapa na pale. Ila nnetokea kunpenda sana ila nikitaka kumwambia ulimi unakua mzito nashindwa kuongea chochote.
Msaada tafadhali nifanyeje ili kuutuliza moyo wangu
unampenda mtu halafu unamuacha? ?????
kwanini unamuacha sasa na wakati unampenda ? au unapenda vimeo havibebeki?
kitandani ziro
wallet negative
future uncertain
sura ya mamba etc
Kumbe be by sketch mama post zako za kutunga majuzi tu umetafuta ushauri namna ya kumpata mtu umpendaye kumbe mzoefuKuachwa kupo siyo lazma ukamwacha/ukaachwa na asye /ucye kupenda /mpenda, ila mm hua namwacha yule nnae mpenda ili acje kuniacha yeye nkajikuta nakua miongon mwa walio umizwa.
Sasa nahitaji msaada nifanyeje ili nidumu na yule nnae mpenda pasipo hofu ya kuachwa inayopelekea kumuacha huku NAMPENDA??
cwez kumpenda mwanaume mwenye sura kama nyuma ya frij kisa pesa hata kidog, huyo ntadumu naye sabab ya pesa lkn so kwamba nampenda. hivyo cjawah kupenda nchope huwa nawapenda wenye mvuto ila sasa cdumu nao nawah kuwaacha ndo nahitaji msaada nifanyeje ili nidumu na yule nnae mpenda???Hao wanaume huwapendi bali wana vigezo ulivyojiwekea unavyotaka mwanaume awe navyo, kwa hiyo unavutiwa kuwa nao
Husipende kuwatendea wengine kitu ambacho hutopenda utendewe
Ukipenda hutotaka kumkimbia mtu
me si mtoto sana wala mkubwa sana ila bado mbichi mbichiUna umri gani

Basi pole mamii,vumilia mambo yatajipa tu wakati ukifika.gundu sina kwa sabab cjawah kuachwa
yatajipaje wakati niwapendao ndo hao nawaachaBasi pole mamii,vumilia mambo yatajipa tu wakati ukifika.
cjawah kuachwa hata mara moja
Utaelewa baada ya kuachwacjawah kuachwa hata mara moja
Nakutumia dua na manuizo ya kumfanyia mwanaume,utayapokea PM.Bila kusahau rangi za kufuri unazotakiwa kuvaa katika maagano.yatajipaje wakati niwapendao ndo hao nawaacha
me si mtoto sana wala mkubwa sana ila bado mbichi mbichi![]()
![]()
![]()
hua naogopa wao wasje kunacha maana nackiaga ni maumiv makal ukiachwa na umpendaeSasa kwanini huwa unawaacha hao waliobahatika kupendwa nawe?
Nakutumia dua na manuizo ya kumfanyia mwanaume,utayapokea PM.Bila kusahau rangi za kufuri unazotakiwa kuvaa katika maagano.
