Nikimpenda tu, hatudumu

Nikimpenda tu, hatudumu

Kama nna tatizo je, nitalitatuaje? maana nackiaga ukiachwa na umpendae huwa unapata donda ndugu kwahyo mm hua najiwah kabla cjalipata sabab naogopa maumiv ya map**nz nackiaga ni machungu eti!
sasa unawadate wa nini kama unajua watakuacha? hamkai mkaweka mipango mezani?
 
Najiuliza swali inakuwaje unadumu naye na haumpendi/ hayupo moyoni mwako?
nnakua cna hofu wala wac wac wa kuachwa, pili unakuta wallet inasoma vizur. Hivyo npo kimaclah zaid, huwa cjali sura wala umri. Tatizo ni kwa yule nnae mpenda kuna vigezo mpaka kumpenda na wallet sio lazma ila sidumu naye hua namkacha mapema sana
 
Kuna tatizo linanisumbua na sijui nilitatue vipi, tatizo langu ni kudumu kwa muda mrefu kwenye mahusiano na mwanaume ambaye simpendi /hayupo moyoni mwangu.

Ikitokea NIKIMPENDA tu! siwezi kudumu naye tena lazima nimuache muda mfupi tu, nikikaa naye sana sizidishi miezi 6. Sijui tatizo langu lipo wapi ushauri wenu plz nitazingatia
okoka kisha muombe Mungu atakupa mwenza wa maisha, hauta jutu kamwe..
 
sasa unawadate wa nini kama unajua watakuacha? hamkai mkaweka mipango mezani?
Kuachwa kupo siyo lazma ukamwacha/ukaachwa na asye /ucye kupenda /mpenda, ila mm hua namwacha yule nnae mpenda ili acje kuniacha yeye nkajikuta nakua miongon mwa walio umizwa.
Sasa nahitaji msaada nifanyeje ili nidumu na yule nnae mpenda pasipo hofu ya kuachwa inayopelekea kumuacha huku NAMPENDA??
 
uyo atakuwa ni jini mahaba huwa hawatakigiki uwe na mahusiano na mtu hasa kwa kuwa na mapenzi ya dhati huwa wanakuwa na wivu sana ndomana hufanya hila za kuhakikisha udumu naye a muhimu fanya maombi kwa mungu wako ili akuvue ulionayo maana lasivyo utakuwa mtu wa kubadilisha ..

pole sana kwa hilo ila ongeza juhudi katika kumuomba mungu
 
Unatakiwa wewe ujuwe kwamba hapa duniani tunaishi kwa muda, ambao unatusaidia kutimiza malengo/mipango ya kimaisha, kwahiyo na wewe uwena malengo sababu muda haukusubiri, utakapo fika miaka haumuoni unaye mpenda tena au anayekupenda na umri umesha kwenda 30s,utajipa matatizo mengine mengi mwenyewe kwahiyo nibora ukawa na huyo unayempenda na kufunga ndoa kabisa.
nnakua cna hofu wala wac wac wa kuachwa, pili unakuta wallet inasoma vizur. Hivyo npo kimaclah zaid, huwa cjali sura wala umri. Tatizo ni kwa yule nnae mpenda kuna vigezo mpaka kumpenda na wallet sio lazma ila sidumu naye hua namkacha mapema sana
 
usidhani mzaha ili tatizo hata mimi nilikuwa nalo kwambaia kwa uzoefu nilikuwa nikimpenda tu bint sikai nae ila yule ambae atanipenda alafu nikawa simpendi basi ntadumu nae (haya madubwana yapo na yanaharibu sana maisha ya watu na kuyafanya yawe chini juu juu chini
 
Hao unaowapenda sio type yako Dada na hao usiowapenda ndio type yako sema hujajua tu unalazimisha kupendwa na hao ambao sio type yako badilika aisee
Labda mie ndo zipo ambazo so typ zangu sabab me mtoto mtoto nmeumbika kwel kwel nahv nlivyo finyangwa wikend ndo ucseme
 
Kuna tatizo linanisumbua na sijui nilitatue vipi, tatizo langu ni kudumu kwa muda mrefu kwenye mahusiano na mwanaume ambaye simpendi /hayupo moyoni mwangu.

Ikitokea NIKIMPENDA tu! siwezi kudumu naye tena lazima nimuache muda mfupi tu, nikikaa naye sana sizidishi miezi 6. Sijui tatizo langu lipo wapi ushauri wenu plz nitazingatia

Utaolewa kweli wewe??!!
 
Back
Top Bottom