Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 2,156 Reaction score 4,078 Dec 28, 2023 #1 Kilimo cha miti ya Christmas hapa bongo kinaweza kulipa?
Jifunafu JF-Expert Member Joined May 25, 2020 Posts 201 Reaction score 746 Dec 28, 2023 #2 Wakili wa shetani said: Kilimo cha miti ya Christmas hapa bongo kinaweza kulipa? View attachment 2855247 Click to expand... Sijawai kusikia soko la hii miti, labda wadau wengine wanaweza kuelewa.
Wakili wa shetani said: Kilimo cha miti ya Christmas hapa bongo kinaweza kulipa? View attachment 2855247 Click to expand... Sijawai kusikia soko la hii miti, labda wadau wengine wanaweza kuelewa.
Trubarg JF-Expert Member Joined Jan 8, 2020 Posts 4,400 Reaction score 7,254 Dec 28, 2023 #3 Mambo ya kukata hiyo miti kwa ajili ya christmass yaneshapitwa na wakati..labda upande kwa ajili ya mbao
Mambo ya kukata hiyo miti kwa ajili ya christmass yaneshapitwa na wakati..labda upande kwa ajili ya mbao
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,393 Reaction score 196,140 Dec 28, 2023 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,962 Reaction score 9,526 Dec 28, 2023 #5 Wakili wa shetani said: Kilimo cha miti ya Christmas hapa bongo kinaweza kulipa? View attachment 2855247 Click to expand... Inaweza yes, kuna watu wanataka asilia hawapendi hii ya kichina ya plastic.Kama vipi otesha kwenye zile Pots kubwa na unaweza uza mtu akabeba na pot yake kabisa na akawa anapamba ikifika wakati wa Chrstmas. Possible unaweza tengeneza pesa.
Wakili wa shetani said: Kilimo cha miti ya Christmas hapa bongo kinaweza kulipa? View attachment 2855247 Click to expand... Inaweza yes, kuna watu wanataka asilia hawapendi hii ya kichina ya plastic.Kama vipi otesha kwenye zile Pots kubwa na unaweza uza mtu akabeba na pot yake kabisa na akawa anapamba ikifika wakati wa Chrstmas. Possible unaweza tengeneza pesa.
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,962 Reaction score 9,526 Dec 28, 2023 #6 Trubarg said: Mambo ya kukata hiyo miti kwa ajili ya christmass yaneshapitwa na wakati..labda upande kwa ajili ya mbao Click to expand... anaweza otesha kwenye pots akauza mti ukiwa hai
Trubarg said: Mambo ya kukata hiyo miti kwa ajili ya christmass yaneshapitwa na wakati..labda upande kwa ajili ya mbao Click to expand... anaweza otesha kwenye pots akauza mti ukiwa hai
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,780 Reaction score 13,701 Dec 28, 2023 #7 Soko huwezi pata kaka nani nani atabeba mti hai aweke sebuleni???? Hiyo si miti ya mbao tu inaitwa Pine njombe Iringa kibao.
Soko huwezi pata kaka nani nani atabeba mti hai aweke sebuleni???? Hiyo si miti ya mbao tu inaitwa Pine njombe Iringa kibao.
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,981 Reaction score 79,154 Dec 28, 2023 #8 Napenda harufu ya majani yake.. kutumia kuremba Christmas nyumbani naona nzuri kuliko ya plastiki.. huku kijijini ninayo kama urembo nje Usiwekeze pesa zako zote huko.. wengi wavivu kusafisha n.k.
Napenda harufu ya majani yake.. kutumia kuremba Christmas nyumbani naona nzuri kuliko ya plastiki.. huku kijijini ninayo kama urembo nje Usiwekeze pesa zako zote huko.. wengi wavivu kusafisha n.k.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,943 Reaction score 1,252,153 Dec 29, 2023 #9 Zamani kingelipa sana