Miti ya mitiki (teak trees) 100 inauzwa. Zanzibar

Miti ya mitiki (teak trees) 100 inauzwa. Zanzibar

Ahmed Vuai

New Member
Joined
Sep 17, 2026
Posts
1
Reaction score
1
Nauza takriban miti 100 ya Mitiki (Teak) iliyopo Selem, Zanzibar. Miti imekua vizuri na ina ukubwa unaofaa kwa matumizi ya mbao, samani, ujenzi na biashara ya mbao.
📍 Eneo: Selem, Zanzibar
🌳 Idadi: Takriban miti 100
📏 Mzunguko wa shina: Nchi 63 na kuendelea
📐 Urefu: Mita 8 na kuendelea
Miti inafaa kwa wanunuzi wa mbao, mafundi, kampuni za samani na wafanyabiashara wa miti/mbao.
💰 Bei: Kwa maelewano baada ya kuangalia miti.
📞 Kwa mawasiliano: 0717 792 679

IMG-20260919-WA0007.jpg
IMG-20260919-WA0006.jpg
 
Huu ni utajiri ndugu hongera kwako

Selem ni pazuri kwa uotaji wa miti iyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom