Nikikumbuka naumia sana

Mkuu....siwezi kuwa nae ndio mana miezi mitatu hatufanyi mawasiliano licha ya yeye kunitafuta
 
Ananitumia sms za kusema wewe mme mwema umetulia Hauna makuu ila simjibu sms zake
 
Kwaio unahisi kama asingezaa ingekuwa simple kurudiana
 
Sasa mwaka ambao ndio naanza first year kuna binti alikua yupo second year ila umri mdogo kuliko hata mimi tulianzia urafiki mwishoe nili approach akakubali ...

Binti alijaribu kuniweka karibu sana na Kunifanya kuwa mtu wake wa karibu sana na kunipa faraja kanisani tulikua tunaenda wote kusoma wote ila yeye course nyingine...

Hapo sasa! kakutangulia mwaka, mara mnasoma pamoja!!!!
 
Kusoma pamoja yaani chuo kimoja mkuuu....au ulihisi one class
 
Aah Ila mzee kwa gharama ulizoingia me ushauri wangu mkubalie arudi,

Akirudi kula mzigo kama mara mbili au tatu+ hv kisha baada ya hapo mteme aendelee na maisha yake
 
Acha uzembe. Nenda kajilie zako papuchi afu uchape mwendo. Malipo mengine ni hapahapa duniani.
Shida sio uzembe

Maisha Ya visasi kwa Binafsi yangu siyapendi na visasi havijengi ndio mana nipo kimya sijamjibu kitu chochote kile nipo kimyaa tuu miezi mitatu na zaidi ananitafuta tyuu ila nipo cool a natuma watu na rafiki lakini hakuna matumaini
 
Aah Ila mzee kwa gharama ulizoingia me ushauri wangu mkubalie arudi,

Akirudi kula mzigo kama mara mbili au tatu+ hv kisha baada ya hapo mteme aendelee na maisha yake
Hahaa...eti kula mzigo halafu nimteme kama ana mgonjwa yake
 
Shida sio uzembe

Maisha Ya visasi kwa Binafsi yangu siyapendi na visasi havijengi ndio mana nipo kimya sijamjibu kitu chochote kile nipo kimyaa tuu miezi mitatu na zaidi ananitafuta tyuu ila nipo cool a natuma watu na rafiki lakini hakuna matumaini
Basi acha kulialia. Ushasomeshea wenzio... acha wafaidi matunzo yako.

BTW hebu nipe namba zake nimuulize kwanini kakufanya zoba we mtoto wa mwanamke mwenzie...
 
Basi acha kulialia. Ushasomeshea wenzio... acha wafaidi matunzo yako.

BTW hebu nipe namba zake nimuulize kwanini kakufanya zoba we mtoto wa mwanamke mwenzie...
Wakati saivi yupo wakati mgumu sana yani kaachwa na mtoto wa miezi mitatu halafu hana kazi ambayo inampa hata buku kwa siku baba hana yupo yupo tuu ndio mana anarudi kutaka huruma kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…