Huko mbeleni nikifanikiwa kuwa Rais wa Nchi, jeshi langu la ulinzi litafanya kazi kuu 4.
1. Kulinda mipaka ya Nchi.
2. Kulinda rasilimali za Nchi yetu.
3. Kulinda HAKI za Watanzania kwa kuhakikisha hakuna mhimili au chombo chochote kinatumia mabavu na vyombo vyake kupora HAKI za Watanzania.
Yaani, mahakama isionewe wala isimwonee mtu, Utawala usionewe wala usimwonee mtu, Bunge lisionewe wala lisimwonee mtu na Raia wasimwonee mtu wala wasionewe na chombo au mhimili wowote ule.