Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
Yaani sasa hivi nikikutana na wewe nakusalimia nimeshaunganisha vipande vya image yako vimekamilika. Facial expression nimeipata kwenye comments zako.kuna jambo linanitesa sana jamani .
mwaka jana mwanzoni nilienda ofisi moja ya umma kikazi.nilikuwa nimevaa suruali ya kitambaa ya kawaida tu ya ofsini. nilipofika getini pale nikazuiwa eti hawaruhusu mavazi hayo . nikashangaa maana sikuwa nimevaa jeans wala kipedo .ni suruali ya kitambaa ya kawaida tu ofsini wala haikuwa imenibana kiivo basi tu labda vile mimi mnene maana niliona wanawake wengine wamevaa wanaingia tu fresh.
wakati wale walinzi pale wananigomea kuna mama akaja akanipa mtandio wa dera umechooka mchafu mchafu ila sikuwa na jinsi maana niliiitaji kitu muhimu sana. nilivoingia ndani nikamkuta mdada mwingine akanipa kitenge kizuri na ule mtandio mchafu nikauweka kwenye pochi maana yule mama aliniambia nirudishe.
nilikaa huko ndani kwa muda .nilipotoka sikumkuta yule mama pale ,nikamtafuta sana sikumuona.nikawaomba wale walinzi niwaachie wakagoma. ikabidi niondoke nao
toka jan mwaka jana ninao . naogopa kuutupa .haufai kabisa umepauka ,nilishaufua ni msafi ila sijui niufanyeje . nikitaka kuutupa naogopa roho inauma najiona kama sina shukrani .
Pale alipokupea nguo yake nenda pale kila mara ipo siku utamuona tu.wapi nitamuona mkuu
Kawaida kwako inaweza kuwa tofauti kwa mwingine.nipo kawaida tu mkuu
sijadharau mama nimeandika ili mnieleweMfikirie huyo mama ambaye kwake hicho unachokiita kinguo kichafu kichafu ilikuwa ni nguo yake;
huna shukrani;
nimeeleza uhalisia mkuu ili unielewe sina dharau na hii nguoSijapenda unavyo ikashifu nguo iliyokusaidia! Kwani wenye nguo mpya safi hawakupita hapo getini? Kama unaweza isema vibaya bila kuona huna shukrani unaogopeje kuitupa?
sawa nkuu ,asante kwa ushauriUlipewa it's okay, ulipewa kwa sababu ulikuwa na shida basi na wewe uwafanyie wengine vile vile kama ulivyotendewa(WEMA) wewe, sometimes kunamatukio huja na huwa ni funzo maishani!!!
ilikuwaje boss?Hii story yako kama ya mama mmoja pale NIDA
mimi sio mnene walaYaani sasa hivi nikikutana na wewe nakusalimia nimeshaunganisha vipande vya image yako vimekamilika. Facial expression nimeipata kwenye comments zako.
sawa mkuuweka kama kumbukizi na msaada alokufanyia ukitupa kwa mimi utakua si ustaarabu
hapanaHivi miss natafuta una msambwanda?
Una rangi ya mtume?sawa mkuu
hapana
Ndio maana uliweza kufunika mkia vizuri. Usiwe na wasiwasi Mimi nikimprofile mtu sikosei. Nitakusalimia Kwa heshima tu, to make exception itakuwa Kwa mkono wa kushoto ili unitambue.mimi sio mnene wala